@officialvillatz: ✨ UMECHOKA KUPAMBANA PEKE YAKO? HUU NDIYO MUDA WA KUBADILISHA MAISHA YAKO! ✨ Usikubali kuendelea kuishi bila msaada, maarifa na watu sahihi wanaokuzunguka. 💙 UPONYAJI NA FARAJA HUB – Kiingilio: TSh 10,000 ✔️ Uponyaji wa moyo ✔️ Faraja na ushauri ✔️ Ukuaji binafsi ✔️ Jamii yenye upendo na support ya kweli 💕 COUPLES 2026 – Kiingilio: TSh 10,000 ✔️ Pata nafasi ya kufahamiana na watu wapya ✔️ Jenga mahusiano yenye malengo ✔️ Mazungumzo ya upendo, ndoa na maisha ✔️ Community salama na yenye heshima 💼 FURSA HUB – Kiingilio: TSh 5,000 ✔️ Fursa za kazi ✔️ Biashara ✔️ Scholarships ✔️ Connections na taarifa muhimu za maendeleo 🔥 Usikae pembeni wakati wengine wanabadilisha maisha yao. Wekeza kidogo leo, uvune maarifa, connections na fursa kwa muda mrefu. 📩 Nitumie DM sasa hivi ili ujiunge. Nafasi zipo, usichelewe!
Official villa
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 06:18:52 GMT
Music
Download
Comments
Usher🫧❤️ :
Fact sis❤️
2026-07-28 06:23:14
2
Zahara Msuya :
Yes true
2026-07-28 18:32:55
0
Moriento Demoriento :
Another 1 mom🤍🕊️
2026-07-28 12:57:34
0
happy :
🤣🤣🤣. mim baba mtoto wangu anajifanya hataki kupokea cm wala kujibu message lakini mim natuma message zakuomba hela anatuma jaman binadam kazi
2026-07-28 09:33:29
11
Hope Anangisye :
mbona unafanana na kajala😁
2026-07-28 15:46:06
1
Musa Foroza :
DD NAKUELEWA SN UBALIKIWE SN👍👍
2026-07-28 15:15:19
2
❤️🔥hello 👋 it's me😒 :
😭😭😭
2026-07-28 06:22:19
2
Aiem sabina💦 :
Amenibrock kila sehemu
2026-07-28 06:30:13
5
Teddy oswady :
NAKUPENDA ZIDI KUBARIKIWA🥰🥰
2026-07-28 09:32:05
2
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Nina kasichana kangu kadogo mtoto mwenzie akimnyima kitu na yeye atakula vyake mbele yake hampi na yeye akinyimwa hajali🤣 hadi naogopa mimi mamaake kanishinda🙌🏿
2026-07-28 10:05:27
3
Abby Love Clinic :
MIMI MWANAFUNZI NIMEFATA MUONGOZO NIKO SAWA SAWA 😂 HAO WANAO RUDI NYUMA WAACHE SI HAWAWEZ KUMOVE ON WAACHE
2026-07-28 08:26:45
5
Neema Nyerere :
Asante Dada
2026-07-28 08:57:08
1
Abigal🥰yalaa💕 :
Sawa dada Asanteh kwa ushauri🙏🫂
2026-07-28 13:38:19
2
Henry richard :
hakika dada upon kwenye usahihi
2026-07-28 10:33:58
2
givenmlelwa79 :
Mungu akubariki Sanna dada🙏🙏
2026-07-28 12:37:09
1
user9836371385458 :
hakika
2026-07-28 13:48:49
1
official@Gee :
Fact
2026-07-28 08:27:29
1
Cyprianmtoo87 :
dada nikweli lakini sio rahisi tunajarib tunashindwa 😭
2026-07-28 11:21:30
0
Valentina Samwel :
siwanajifanya awakuskii dada WAACHE
2026-07-28 10:48:51
1
lovekapwela :
Dada asante sana maneno yako yamenigusa
2026-07-28 08:22:53
2
Claudia Lusewa :
Ur cute n intelligent 🥰🥰
2026-07-28 09:12:19
4
kimamycute 🥰 :
Mungu akubariki dear 🥰
2026-07-28 09:29:24
1
Queen of lips👄 :
da mtu umenizulumu pesa yangu sawa tu
2026-07-28 08:04:17
1
To see more videos from user @officialvillatz, please go to the Tikwm
homepage.