@historical_zanzibar: Ziara ya Kihistoria ya Nikolai Podgorny Zanzibar (1977) #zanzibar #russia #coldwar

Historical Zanzibar
Historical Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 06:19:48 GMT
12396
584
27
55

Music

Download

Comments

hafidhsalum338
hafidh salum :
wale madogo munaowaona pale pembeni ndio wazazi wetu saiv😃😄
2026-07-28 11:16:00
4
officialyujastyga
official yujastyga :
tunawaona wazee wet wanashangaaa kwa pemben
2026-07-28 10:42:46
4
rahma43518
Rahma :
Ahsant kwa kutujuza
2026-07-28 09:34:49
2
ska3927
Ska :
Namuona Suleiman Nine Nine, Kassim Ali Massego
2026-07-28 18:23:31
1
abdulyuzasif
ASHANTI MAN :
ukiangalia uzr video ikianza utaona ni bendera mbili zikipepea ya Tanzania na ya kisoviet bc
2026-07-28 17:35:34
0
star.kibo
Star kibo :
mbn bendera ya tanzania na isiwe ya znz?
2026-07-28 21:56:08
0
user7434305524181
Bushoke :
Zanzibar ikiwa makombo ya kisoviyet sijui yalipelekwa wapi
2026-07-28 17:21:05
0
shamtana1
Jay :
Safi san
2026-07-28 16:08:34
0
said.sofo
Twetwe :
Miradi ya makombora ya missile, kule Welezo ma ndege za Kivita baadae zilizotumika katika vita vya Kagera.
2026-07-28 18:47:03
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Duu!!! kumbukumbu nzuri sana ✅✅
2026-07-28 10:43:11
0
hamadmpembaali
hamadmpembaali :
shujaa hao
2026-07-28 11:28:35
0
47r4sh
47R4§H :
nice video bro nimefurah kuona michenzan ya zamni
2026-07-28 10:20:55
1
0.6.2.431274
ابو الفداء السلف :
Apo kamiksi unguj na pemba kwa wakati mmoja
2026-07-28 11:12:40
0
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About