@mwl.emilian.katub7: Agenda za maombi ya mfungo day 02 Isaya 51:22 BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevya-levya, hilo bakuli la kikombe cha hasira yangu; hutakinywea tena; Omba yule Mungu anaetetea watu akutetee na wewe katika jina la Yesu Na mimi nakuombea Mungu akutetee kwenye kila jambo ambalo unalipitia linalokuleteq machozi Lakini pia jitamkie na kujiombea siku ya leo kwamba kikombe chochote ambacho umekinywea kwa muda mrefu kilichokuletea kilio Hicho kikombe hutakinywea tena katika jina la Yesu USIKOSE SAA NNE USIKU KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YA MWL EMILIAN KATUBAYEMO tunaendelea na maombi Hicho kikombe hutakinywea tena

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 06:23:54 GMT
11215
1896
271
114

Music

Download

Comments

nabu.797
nabu.797 :
Who knows the number (contact number)of this pastor. I need it please. I have a testimony on
2026-07-28 06:43:59
0
edinah.kwambok
Edinah Kwambok :
pastor plz niombee
2026-07-28 06:34:33
1
tantineyuma347
tantineyuma347 :
nipepe baba Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-28 06:34:07
1
ann10978
Ann10 :
Amen my God 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-07-28 06:30:54
1
loml1847
loml :
everybody say AMEN 🙏
2026-07-28 08:32:01
0
mboja682
Mboja :
kikombe hiki sitakinywea tena katika Jina la Yesu: Isaya 51:22
2026-07-28 07:34:56
2
tatu4688
Tatu :
Amina Amen and Amen in jesus name
2026-07-28 07:25:52
0
jojo50078
Jackie🍒 :
Mungu usipe kurudi tena nilipo toka maan adui zangu wanatak nifell ili wanicheke 🙏🙏
2026-07-28 06:32:38
5
reyckiondo2
reyckiondo :
KIKOMBE CHOCHOTE KILICHOLETA AIBU SITAKINYWEA TENA KATIKA JINA LA YESU
2026-07-28 07:40:43
1
jmmyninemanuskadugu
Jimmynine The Boss Official :
mtumishi nipo hapa kupokea uponyaji na ni nmekuwa wa. kwanza I Eme❤️❤️❤️
2026-07-28 06:36:44
3
user1745107939412
MoH :
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 in Jesus name 🙏
2026-07-28 06:35:58
1
user2448052620861
user2448052620861 :
amina naiwe hivyo
2026-07-28 06:31:13
2
user6061024918307
Merry 🥰 :
Ameen mungu ajibu hitaji la moyo wangu natamka kwa Imani munguu Leo ndo mwisho wa hili pito ninalopitia kwa Imani mungu atanitetea Ameen 🙏🙏🙏🙏
2026-07-28 07:41:21
1
norbatkinasha405
LUTENET JOSHUA :
AMEN 🙏🙏
2026-07-28 06:33:06
1
njoroge.susan
Njoroge Susan :
Amen Amen
2026-07-28 06:30:34
1
upendolouis
upendolouis :
Amina 🙏🙏
2026-07-28 06:35:34
1
user3787734030955
doricat :
amen amen baba
2026-07-28 06:36:31
1
deborah14026
deborah :
Amine Amina 🙏🙏🙏
2026-07-28 06:33:14
1
samirafrancis3
samira :
amen
2026-07-28 06:33:11
1
kaly.boy4
kaly boy :
ameenn🙏🙏🙏🙏 kiendelee kuniepuka
2026-07-28 06:36:22
1
bijouxwilondja
bijoux wilondja :
amena baba 🙌 🙏
2026-07-28 06:34:42
0
emmanuelngeke818
emma ngeke :
Ameen 🤲 🙏
2026-07-28 06:30:56
1
user5259705508606
user5259705508606 :
mungu usipe kurudi ten nilipo toka maan adui zangu wanatak nifeli ili wanicheke
2026-07-28 06:35:55
1
florapenzi
Flora Penzi :
ameen🙏🙏
2026-07-28 09:00:54
0
millicentowino70
millicentowino70 :
Ameeeeeen
2026-07-28 09:03:03
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About