huyo ni mimi kabisaaaaaaaa na man in unform wang😁 nahis ananicheat tu kumbe walla mkaka wa watu ananipenda hahahah shida inakuja aki blue tick alf asijibu hahaha
2026-07-28 08:53:20
18
.......... :
mbona kama Bradley barcola😂😂
2026-07-30 07:28:58
5
@ veeluxe😜😜 :
🤣🤣🤣 hapo kwenye kusubilia nani amtafute mwenzake
2026-07-28 09:42:42
9
shebe :
huyo wangu mie mbaka natamani kulia🤣🤣🤣
2026-07-28 10:36:34
7
shaky girl :
exactly 💯 kaka🙌🙌
2026-07-28 07:10:05
7
Ms. Tilda💞❤️ :
zumbeee leo nimekuwa wakwanza
2026-07-28 06:34:28
10
smart👑 bizzø 🍀 :
brother stiinenopooh💯😁😂😁😂😁kabisa
2026-07-28 14:25:32
7
-TYSON-👺 :
Daaaa iyo leoooo kak nina mashak apa 😂
2026-07-28 12:23:25
1
@young_mg2 :
Ila umeongea kwel hayo ndo madhar ya kumpenda mtu kwa dhati
2026-08-28 12:25:37
1
NODY KHAN 👑👑 :
2026-07-28 12:16:45
1
Mr djeph EK :
dhaa Ila ina uma
2026-07-28 14:42:38
0
salhat♥️♥️ :
uhakika zumbe👌
2026-07-28 08:13:16
1
abdulchande781 :
aaah mapenzi yataniua bhan bora niachane nayo
2026-08-25 05:31:02
1
Neycmicky Bonnie ✨️🌹❤️ :
me naamini huyu wangu ndio type yangu..asipotuma txt na mimi situmi🤣🤣
2026-07-28 14:11:18
1
ZUMBE FAMILY :
kwelii🤣🤣🤣
2026-07-28 07:33:15
3
🦋༺༆ཞ𝖇𝖚𝖙𝖙𝖊𝖗𝖋𝖑𝖞❈༻🦋 :
😂😂😂
2026-07-28 11:19:06
1
Abby g@ 🥰 :
kabisaa kaka uyo ni mm kabisa hii loho ishindwe kwa jina la yesuu
2026-08-06 20:18:34
1
To see more videos from user @am.zumbe, please go to the Tikwm
homepage.