@dallarzpage: Here is a little motivation from Captain to you. let it sink in. #motivation #life #inspiration #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

dallarz
dallarz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 06:51:40 GMT
36681
4707
174
82

Music

Download

Comments

zay.rose8
Zay Rose :
Asante
2026-09-08 18:24:11
0
laza7526
laza :
nimemkumbuka mama yangu jaman alifaliki akiwa ana pambana akuwai kupumzika apa dunian duh 😭😭😭😭
2026-07-28 18:17:39
30
user7169999492279
bakary :
dah broo mm ni familia yako nakufatilia sanaaa Mambo yetu ya vita but Leo umeongeaa
2026-07-28 13:05:21
16
jitulamtumba4
JITU LA MTUMBA :
@cardo: Respect brother caputain dupa mwaba akili ina choma xna
2026-07-28 10:51:10
7
tlheri
TL :
respect capitaine DUPA 🫡🫡🫡 ndo ukweli ile
2026-07-28 06:58:11
4
heir849
CONGOLAIS SANS FRONTIÈRES 🇨🇩 :
wewe nimutu mwenye akili saana nakueshimu kinoma 🫡🫡
2026-07-28 07:54:08
8
vyamos
Mossini Vyamana :
Nimependa apo mwisho”ukiona yamekua magumu,mshukuru Mungu saaana,ingekua zaidi ya hapo, Mungu kakuhurumia tu
2026-07-31 07:01:53
2
unknownr419
UNKNOWN STRANGER :
Especially " Depression / Anxiety " trust me captain dupa. 😔
2026-07-28 12:46:03
1
muhsin.mdaula
Musin Mdaula :
ndivyo irivyo dupa kikubwa kuomba mungu akurinde kwakira. jambo
2026-07-28 07:30:07
12
al_hikma_foundation
AL-HIKMA FOUNDATION :
what a strong message 🤔!!!!!???
2026-07-28 19:10:25
3
user435070146
Muhammad :
Irizz woririzz
2026-07-28 07:00:55
2
allansanga693
Allan Sanga :
nakubali kk sio vita tu ataushauri pia ni sio contect tu bali ni moja kat ya maisha
2026-07-28 21:43:17
4
cardo0603
cardo :
Respect brother caputain dupa💪🫡🫡
2026-07-28 07:55:02
2
vacation990
Vacation💵💵 :
amin maisha yapo hivo respect sana
2026-07-29 07:58:14
2
abuu.samir7
abuusamir6 :
respect sana mkuu nmekuwa nakufatilia sana lakin Leo umeongea jambo ambalo Lina ukweli asilimia mia maisha ni mshindi kashinda Kwa Kila mmoja 🙌🙌🙌
2026-07-30 11:49:57
0
user4511194758681
gervas massawe :
maneno machache yenyemana kubwa sana
2026-07-28 07:18:03
2
user25235761211236
sunyati t.i :
dahh kwann umewaza mbali xn
2026-07-28 08:30:06
2
ombenikivuyo191
ombeni :
dalaz hakuna maisha magumu bali tuna madarasa magumu ukiona unapitia darasa gumu jua wewe ni mtu mkubwa sana
2026-07-28 17:52:04
6
chimamitz5
chimami tz🖤🔐❤️ :
Dallarz🥰❤️
2026-07-28 07:01:33
2
user937391134
rahma 99 :
Exactly my brother 🥺Dhuuuuuu
2026-07-28 15:42:32
1
hajihassanhamdan
Haji Hassan Hamdan :
Maisha hayachekeshi mwamba umeongea kitu kikubwa mnooooo
2026-07-28 15:06:47
1
rammykandra
Rammy Kandra :
Mimi ni mfatiliaji sana posta zako, Ila kuna kauli unaongeaga zina ukweli kabisa na hii ni ya pili kwangu naichukua
2026-07-28 19:00:22
1
story.za.katuni
Story za katuni :
Daah
2026-08-31 19:25:04
0
baridastev
taa :
Iran veep mwanet unafungisha
2026-08-30 10:49:36
0
kigala.kigala
KIGALA KIGALA :
amini kk🥰🥰🥰🥰
2026-07-28 20:40:45
2
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About