mimi nasikia maumivu sana ila bado nina wiki ya 34 na siku sita ila chamoto nisha kipata nikienda kupima naambiwa ni maumivu tu mtoto anageuka nimepewa dawa za maumivu ila haisaidii maumivu yanarudi tena nimechoka jamni kiuno kinaniuma sana
2026-08-05 08:06:21
1
Makabila Opa :
na je ukiskia ivo mtoto atakuwa anacheza
2026-08-06 09:28:25
1
naa🍍 :
yaan kisa nipo mwisho bas video izi ndio zinanifata kila ninapoenda
2026-08-13 16:31:57
2
ndege mnana❤ :
smhn doctor mimi npata mkzo baada y dkka 5 inrd mji yn mwagik kidgo ynpotea kwa siku nkiend npim njia bd wala ute sipt at utlz akn inweza kua nni ?
2026-07-28 13:26:29
0
baby nans :
nimetoka juz tu jmn mama angu nilimwamkia mara 3 jmn uchungu unauma
2026-07-31 23:50:10
2
tittok00 :
Allah atufikishe salama
2026-08-02 06:46:01
1
jesca mjengi :
ukinywa dawa je
2026-08-25 11:29:28
0
Baby Glow85🇩🇪💍 :
kwanzia miezi mingap doctor
2026-07-29 21:20:23
0
mom.muuh💝 :
sio wewe mm ni new born na hzi video za mimba mimba tyu😅😂😂
2026-08-12 21:21:28
0
levycollection&decor :
Nyonga nyonga jmn naumwaaa hata dawa ya maumivu hayasikiii😭🥹
2026-08-21 10:22:05
0
marry :
mimi nimekaribia kujifungua lakin nahis maumiv hap kwenye kitov chini na nikitembea nyonga zinauma kwanini
2026-08-10 06:45:03
0
Momo :
Nimeanza kuogopa 😓 Eeh Mungu
2026-08-12 21:53:40
1
Sam Modol🌸🍀 :
auna group dr
2026-08-07 17:22:32
0
Josephine :
mungu atusayidiye
2026-08-06 02:15:03
0
marry :
me naumwa chin ya kitovu au nikitembea kwann jmni
2026-08-10 06:45:50
0
KP🤌💦♒️ :
Dr na mm napata hayo maumivu Alf yanapotea kabisa sipati tena Kama week shida nini