@irenefalifali: Kila mahali huwa kuna vita, na ukiona vita ujue wewe upo na nguvu kubwa ya kiroho ambayo wewe huijui cha msingi omba kwa bidii wala usiogope kwa kuwa Mungu yupo pamoja na wewe ili akuokoe.. MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo ninakuja mbele zako maana imeandikwa ๐Ÿ“–Kutoka 14:14 "BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya". Baba katika jina la Yesu Ninaomba nipiganie kila vita iliyoko kazini kwangu Kila vita nisiyoiona kwa macho Nipiganie Kila vita ya maneno kazini Nipiganie Kila vita iliyoanzishwa na wafanyakazi wenzangu Nipiganie Kila vita iliyotoka kwenye ukoo wa mama/baba Katika jina la Yesu Kristo Maana imeandikwa ๐Ÿ“–Zaburi 35:1 "Ee BWANA, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami. Baba katika jina la Yesu Kristo Ninaomba mtume malaika wako Apigane na wanaopigana na nafasi yangu kazini Apigane na wanaoniongelea mabaya Apigane na wanaonifanyia uchawi kwa siri Apigane na wanaotaka kunishusha kazini katika jina la Yesu la Yesu Kristo Nafunga vinywa vinavyoongea mabaya kwa maboss zangu Nafunga kila kinywa kinachoongea mabaya juu yangu katika jina la Yesu maana imeandikwa ๐Ÿ“–Waefeso 6:11 "Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani". Naval silaha zote za Mungu katika jina la Yesu Ninaangamiza hila za shetani kwenye kazi yangu Ninaangamiza hila ya shetani iliyo ndani ya wafanyakazi wenzangu katika jina la Yesu Baba Navunja madhabahu za giza nilizojengewa na wafanyakazi wenzangu Navunja madhabahu za ukoo zilizo kinyume na kazi yangu katika jina la Yesu Yoyote anaetaka kunishusha kazini nashumsha yeye kwa jina la Yesu Kristo Ninaamuru kuanzia sasa jina langu litakuwa la kwanza kwenye promotion kazini Jina langu litakuwa la kwanza kwenye kupanda cheo Jina langu litakuwa la kwanza kwenye kusaini tender mbali mbali mbali katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai Baba utukufu wako uniongoze Nuru yako iniangazie Najitabiria kila mema yanifuate ninapokuwa kazini katika jina la Yesu Kristo..Ameen #creatorsearchinsights #verity

Irene falifaliโœ๏ธ
Irene falifaliโœ๏ธ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 07:32:40 GMT
28111
1944
175
188

Music

Download

Comments

momboys71
Mom#Ds๐Ÿ˜ :
Amen mema yote najitabiria kwa jina la yesu kristo๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-31 07:24:01
9
jacylne_fassi
๐Ÿ€๐™นษ‘๏ฝƒ๐‘ฆ๐˜ญ๐–“๐–Š๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐ŸŽฒ :
๐‘ด๐’–๐’๐’ˆ๐’– ๐’๐’‚๐’๐’Ž๐’ƒ ๐’–๐’๐’Š๐’‘๐’Š๐’ˆ๐’Š๐’๐’Š๐’† ๐’Œ๐’˜๐’๐’š๐’† ๐’‰๐’Š๐’ ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’‚๐’ ๐’ƒ๐’Š๐’ ๐’˜๐’˜ ๐’Ž๐’Ž ๐’”๐’Š ๐’„๐’‰๐’๐’„๐’‰๐’๐’• ๐’‘๐’‚๐’ ๐’๐’Š๐’๐’Š๐’‘๐’ ๐’‚๐’๐’ˆ๐’–๐’Œ ๐’Œ๐’Š๐’–๐’„๐’‰๐’–๐’Ž ๐’๐’‚๐’๐’Ž๐’ƒ ๐’–๐’๐’Š๐’Š๐’๐’–๐’† ๐’Ž๐’‚๐’‚๐’‚๐’ ๐’‚๐’…๐’–๐’Š ๐’›๐’๐’ˆ๐’– ๐’˜๐’‚๐’๐’‚๐’•๐’‚๐’Ž๐’‚๐’ ๐’Œ๐’–๐’๐’ ๐’Œ๐’–๐’‚๐’๐’ˆ๐’–๐’Œ ๐’Œ๐’˜๐’๐’ˆ๐’–๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
2026-07-28 09:42:51
2
user771581011787
Diva Bella :
Amen๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™
2026-08-01 17:27:36
3
jaivety1
JAI 06 :
ameena mungu wangu
2026-07-29 17:12:37
3
loveness0555
loveness0555 :
Amen
2026-07-28 15:21:21
2
hanson.zuwery
ethan kikoti :
ameen
2026-08-07 02:50:03
1
crna2945
crna :
Amina
2026-07-28 10:59:41
1
irinah.mutua
Irinah Mutua :
Amen ๐Ÿ™
2026-07-28 10:20:12
2
rouzey98
Rouzey :
ameen
2026-07-29 04:14:52
1
pendo.jacob3
Pendo Jacob :
Ameni
2026-07-28 08:30:01
1
habithtairo4
habithTairo :
ameno
2026-07-29 03:32:09
1
nyach225
๐Ÿฅ€nyach๐Ÿ’ž :
amen ๐Ÿ™
2026-07-28 20:57:51
1
leahjulius0046
Lecute :
Amen
2026-07-30 18:20:34
1
samsonchanzi1
Samson Chanzi :
Amen
2026-07-29 21:01:32
1
kelvinkevo072
kevo :
Ameeeen๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-28 12:01:35
2
msonjomson1
Msodokii 123 :
Amen
2026-07-29 20:43:20
1
babatete45
babatete45 :
Amina
2026-07-30 21:05:47
1
nellychaula09
Neyloveโœจ :
Amen
2026-07-29 04:35:58
1
happyhema1
Happy Hema :
Amen๐Ÿ™
2026-09-22 10:11:56
1
happynessobadia
happynessobadia :
amen
2026-09-22 08:12:07
0
happy.macher
Happy Macher :
Najitabiria kila mema yaje kwangu katika jina la yesu kristo aliye hai Amen
2026-09-05 09:11:35
2
marthanassary
Martha Nassary :
Amen
2026-09-21 21:18:12
1
dorice942
D--OUTFITS๐Ÿ‘— :
Amen๐Ÿ™
2026-08-18 08:39:10
2
marthanassary
Martha Nassary :
Amen Amen๐Ÿ™
2026-09-21 21:18:00
1
nyanda36780
nyanda :
Amina
2026-07-28 13:30:33
1
To see more videos from user @irenefalifali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About