@_bekah41: ......Struggle ya kutafuta maisha ni vita ambavyo havionekani kwa macho. Wapo wanaotabasamu mchana lakini usiku wanapigana na mawazo ya kesho. Usiwadharau wanaochelewa kufanikiwa-kila mmoja ana safari yake. Endelea kupambana, kwa sababu ushindi wa kweli huja kwa wale wasiokata tamaa. Mungu ana muda wake mkamilifu💪🏾🙏🏾❤️