@burudanitv: #gamber #burudanitv #fypppppppppppppp #viral #tanzaniantiktok🇹🇿

Burudani Tv
Burudani Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 07:54:29 GMT
903348
27601
140
616

Music

Download

Comments

anjelinachiluka
anjie cute :
asante mungu mm sio kangaroo 😂😂
2026-07-29 12:46:22
122
didahmangodo1818
Khadijamuuh :
pole masikini 🦘 kangaroo
2026-07-31 21:01:31
0
user3515308578181
hadija :
MUNGU wa ajabu jamni
2026-07-28 10:31:59
63
chosentz001
chosenAfrica :
sio kweli
2026-07-28 11:10:32
11
purykag
Spain❤️ :
ningependa kuwa mtoto Wa kangaroo
2026-07-29 11:11:38
35
faithmakena687
faithmakena687 :
Akiwa kwa mfuko huenda choo aje?
2026-07-30 12:10:50
7
sirlim.abuu
Sirlim Abuu :
kwani anazaliwa wapi
2026-07-29 09:26:39
11
anwarykhamissaid
Anwary Khamis :
Mbona wanadeka sana
2026-08-01 21:11:49
8
azuaja.yusuph
Miss zuuh💞 :
Acha MUNGU aitwe MUNGU🙏🤲🥰
2026-08-04 20:41:00
2
snoooopdogg
Sᴺᴼᴼᴾ ᴰᴼᴳᴳ🚬 :
sijui kwanini nikilala na mwanamke anapata kazi🥺
2026-07-29 16:57:29
4
all.the.hobbies1
Softgirlie.hobbies :
Anayejulikana Kama joy😳
2026-07-30 14:57:25
1
geenah004
💖✨Ğëëňäħ🧸🌸 :
binadamu wangekua hvy 😂😂😂😂😂 sijui ingekuwaje wenetu
2026-08-02 19:34:23
3
nyosh41
Eng~Nyosh :
Nashindwa KUAELEWA😅
2026-08-02 20:59:49
1
user9716769430075
user9716769430075 :
mungu waajabu tuliokuw atujui hichi like
2026-08-06 11:56:04
5
user5673086361992
Dalton@246 :
thanks imenisaidia coz ya unit yenye nafanya
2026-07-30 19:21:42
1
sophiaapplelove
user7385921277452 :
nimekimbia fb kila mtu anaomba asafishiwe picha
2026-07-29 20:48:40
1
solomon.laitayo5
truemasai 2 :
correct fact👍🙏🙏
2026-07-28 18:18:45
5
dennis52505
Dennis :
Acha Mungu aitwe Mungu
2026-07-30 18:34:43
5
brave.boy699
brave boy :
uongo like hapa
2026-07-29 15:13:11
3
user62460832065070
[email protected] :
unatudanganya kwa nn joy
2026-08-02 16:23:36
1
understatement_123
understatement :
Tutoe Apreciation kwa Muumba
2026-07-30 20:41:04
1
hildaheart1
904567 :
my mind was saying it's 🦖 dinasours 😅
2026-07-30 16:52:29
1
user6057800637282
lucy🥰 :
maajabu ya mola
2026-07-29 16:59:52
1
user8880243812517
Jackso :
dunia ina mambo
2026-07-28 14:51:41
2
ozemndyetabula
Oze :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-07-29 16:15:00
2
To see more videos from user @burudanitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About