ndugu zangu ktk imani kioo cha s10+ n sh ngapi sasaiv 🤔
2026-08-01 15:54:45
23
mrs nickson💯💝 :
ultra s21 kioo chake shngap jmn
2026-08-01 19:07:39
9
Moe town-GAS_CITY :
😂😂🤣 exactly mkuu
2026-08-02 16:29:07
0
chimumu ❤️❤️ :
nikifikiria sm yangu haina protector mwezi wa 4 sasa😳
2026-07-30 22:52:55
22
Cutefaraja💙💚💪 :
Tuache pls 😂😂
2026-08-02 07:46:01
1
Melech 🥷 :
NOTE 20 ULTRA 😭😭😭 kioo sh ngapi boss
2026-08-02 07:50:58
4
saidnakulu :
acha 2 ninayo apa Samsung s10 nailind kuliko hata dem afu cha ajabu cjawek protect wa cover
2026-08-02 14:24:56
0
emmy :
jmn mm nimedondosha juzi mpaka nimeharishaa😁😁 kilo kimepasuka hapa nawazaaaaaa
2026-08-01 17:02:55
8
Charles Julius :
Na sis was Google
2026-08-01 16:58:20
0
Tivachriss :
yangu s20 ime vunjinga kioo cha nyuma jaman
2026-08-01 17:43:31
1
#Goldenrea# :
kioo cha nyuma cha note9 shngap boss
2026-08-02 16:29:00
0
babylee💞💞 :
Kioo cha A16 galaxy bei gani boss🥺
2026-08-02 14:38:27
0
karry🦋 :
Kioo chake utaimba ucheze chakacha mwenetu 😂😂🙌
2026-07-31 10:13:41
11
pollyanna🎵 :
exactly
2026-08-02 15:15:59
0
🦋🌸 سعيدة 🌸🦋 :
😂😂😂kwa kweli laki na 20 naitolea wapi😂😂😂
2026-07-29 11:50:09
10
Shadear mwamposa 🦁 ♥️🔥🇹🇿 :
lakin sio izi za A0 series MIXA WATU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 15:33:24
1
mrs ibrahimu🥰 :
ndio maana mm nimepeleka yangu kwa fund wakuchomelea anichongee cover moja matata
2026-08-01 17:26:26
1
naya🥰 :
nikifikiria simu yangu nimenunua nikaweka hadi protector haijamaliza ata wiki ikaanguka cha ajabu kioo kimepasuka protector imebaki nzima kabisa haina ata mchubuko napata hasira mpaka nalia
2026-08-02 09:38:02
2
🌙 :
qiiiiii mi mtu aliangusha sim yangu ikavunjika mpaka leo sijawahi heal🥺🥺
2026-08-02 06:20:51
4
إنها سيهابا 🧕 :
s23 ultra kioo ni kiasi gani
2026-08-02 11:51:59
0
To see more videos from user @mobile_discount01, please go to the Tikwm
homepage.