@snashtz: Anguko la Brand ya HISENSE TV

Snashtz
Snashtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 08:50:05 GMT
45512
4076
100
47

Music

Download

Comments

bigmeech_flenory
NOTIFICATION :
Brother mbn Hisense za Android zpo zote
2026-09-03 17:43:27
0
mjomba097
MJOMBA :
Wanotomia Hisense ni wale wasiojua😅 mwamb ni tcl
2026-07-28 10:12:25
44
justin_joseph_machete
justin_joseph_machete :
kama mtu anaangalia Tv kwaajili ya kuangalia tu basi atachukua Hisense lakini kama unafuatilia sound, Vision na colours na small details bas utaenda kwa TCL
2026-07-30 13:39:48
8
vijorapoint1
Mbelwa-vijora :
sisi wa solarmax tunakoment wapi
2026-07-28 20:37:16
6
amourexpro
AMOUREX :
KWEL HISENSE NI BRAIND , ILA CHUMA YA KAZI NI TCL, UNA DOWNLOAD APP NYINGI SANA, ILA HISENSE UWEZI KUDOWLOAD OPERATING SYSTEM YA VIDAA NI JAU , WALIO NUNUA HISENSE WAME YA KANYAGA
2026-07-28 12:37:22
9
piusjamesmazombwe
ᏢᎫᎷ :
Hisense matoleo yanayokuja Africa ndo nayatumia VIDAA ila yapo matoleo ambayo huku hayaji na yanatumia Google (android) changamoto ni bei zinakuwa na bei kubwa ndio maana Wafanya Biashara hawaleti kwasababu Tv za Gharama zinakaa sana madukani Natumia Hisense U8K ulizia bei yake tena hiyo mi VIDAA sasa ulizia yenye mfumo wa Google..Bei inaelekea kwenye OLED ya Samsung na LG
2026-07-28 23:04:40
2
pong20080
ping pong :
mbona ipo TCL
2026-07-28 10:20:11
3
captain_scott099
Captain_Scott :
hyo vidaa ndio itawamaliza saiv mambo ya kufunga ma dish hatuna ni kudownload tu azam max na dstv stream
2026-07-28 10:56:22
2
nassorsaidabdi
Nassor Said :
uko vzr broo
2026-07-28 11:13:37
1
sheytech
sheky :
tcl
2026-07-28 15:04:25
1
user530917336
atlas thmis :
nakubali kaka
2026-07-28 09:26:42
2
boda_msomi
BODA_MSOMI :
kaka NI naomba ni support nafanya kma haya unayo yafanya ww lakin sina support just hata Ku ni pa air time one day🙏🙏🙏
2026-07-28 08:58:40
2
forcizo_electronics
forcizo :
hata AC pia
2026-07-28 14:11:09
1
williemnyamwezi
williemnyamwezi :
Android Tv ndo mpango mzima TCL moto unawaka
2026-07-28 15:04:38
1
carlkeizzy
keizzy :
TCL ni tv bora sana. Android inaifanya TCL kuwa very flexible. unakuta umeweka external device kama flash halafu inakataa kusupport format, unaingia playstore inashusha VLC unapiga all files. ukienda Hisense, hiyo option haipo. ukishakutana na unsupported format basi habari yako ndio imeishia hapo. Tizen (OS ya Samsung) inakubali file format kibao kuliko default player ya Hisense au hata TCL yenyewe.
2026-07-28 18:54:58
2
dark_m0dd
DARK MODE :
nyinyi mnajuwa vile huku Kenya Hisense ni Trash ikija ni Tv😂 kama sio Sony TCL
2026-07-28 22:51:17
1
mekant1
Mekant Used Items✅ :
Hisense Kote naona Ameingia Ila wafanyabishara ndo tunajua Smart vidaa bei rafk ko soko pana mno
2026-07-29 22:28:37
0
zerobrain007
ZERO :
Hiwezekan
2026-07-28 10:54:32
2
mrchacha108
Mr chacha :
Tcl noma sana
2026-07-28 14:22:22
1
frank.rowland2
Frank Rowland :
weka vizur kwa namna hii NOKIA ilianguka kwa sababu tu WINDOW hawakuweka free app kwa app store wakati ANDROID waliweka free app ikapelekea developer wengi kutengeneza app na watumiaji wakapenda na kuwa wengi na hivyo makampuni ya simu mengi wakaanza kuweka adroid kwa simu zao hilo ndio likawa anguko la NOKIA kwa ufupi
2026-07-28 16:35:36
1
innocent.t255
INNOCENT :
shida ni OS watu wanataka android au google mim mwenyewe nishaacha kabisa Hilo tv
2026-09-04 15:15:36
0
call.me.qia.369
call - me qia 369..! :
Tv ni TCL,SONY, LG,SAMSUNG izo hisense sio tv ni kam sunda ao
2026-08-16 15:15:16
0
kisemeoafrica
KISEMEO Africa :
Haier anakuja zaidi ya TCL. nilikuwa na TCL now nipo na Haier aisee 🙌🙌🙌
2026-08-19 12:31:39
0
boniphacekindimba
kindimba boy :
mbn altop ana android
2026-08-12 21:59:01
0
johnjogoowasingida
john :
utofauti hapo ni bei tcl bei zao zipo juu ndo maana hisense anauza sana
2026-08-19 07:00:05
0
To see more videos from user @snashtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About