@lilymediaa: shabiki wa awaomba mashabiki wenzie kuiomba serikali iwazuie yanga kusajili #trendingvideo #petershalulile #mamelodisundowns #yangasc #goviral

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 08:50:11 GMT
131764
4941
277
195

Music

Download

Comments

zaldah_cute
user5257780350788 :
wananchi tujuane jmn
2026-07-30 13:00:31
57
dr.of.chemistry
Dr of chemistry🇹🇿 :
mbona mnamsahau mnzize , bongera striker 💪💚💪💚
2026-07-28 10:38:35
47
evalinakazimili
Evalina Kazimili :
huo muda dada wakwenda kuiomba serikali iwazuie yanga kusajili kwann usiutumie kurudi yanga😁😁😁ukiona simba kutakupa maumivu karibu yanga upate fulaha yanga oyooooooo😁😁🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-28 13:57:16
23
user6855167608849
NGONGO PACHA :
@NGONGO PACHA:Young bingwa 🤴💚💛💚👊🙏🙏
2026-07-29 06:24:18
14
rachelthomas113
rachelthomas9620 :
Mpaka mseme yang tujuane jamani
2026-07-31 11:25:04
8
lulupelement3
Lulu pelement :
huyu nae nan😳
2026-07-28 10:19:07
7
vicent.michael22
Vicent Michael🌈 :
wanayanga tujuane hapa💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💚
2026-07-31 06:58:03
7
khantz1409
𝐊𝐇𝐀𝐍 𝐓𝐙1409 :
Kuna kitu kinachonifanya niwe na wasiwasi kidogo 😅… mpaka sasa sijaona picha rasmi ya Shalulile akiwa na jezi ya Yanga. Najua huenda ni suala la muda tu na klabu bado haijatoa utambulisho rasmi, lakini moyo unataka kuona ile picha ya uhakika akiwa amevaa kijani na njano 💚💛. Tunasubiri kwa hamu. ⚽
2026-07-28 21:01:11
4
irene.msafiri7
irene.msafiri7 :
Yaan serikali ishindwe kudeal na vitu vya maan ianze ku deal na mambo yen😂😂
2026-07-29 15:29:03
4
bamsongobango
King of love :
Mamelodi nini
2026-07-30 07:57:55
2
munirah_msakamali
Munirah_msakamali :
kwisha yenyewea apo yanga bigwa🤣🤣🤣🤣2027
2026-07-31 14:24:24
2
user8866370220367
Pearson@007 :
na bado dada angu cool down😂😂
2026-07-29 19:25:26
2
user84330157406278
naah kopwe :
😂😂😂kujieleza sana ni udhaifu😂wananchiiiiiiii💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚
2026-07-31 17:22:00
2
dullah.mn
_______DULLAH :
ANH kwa usajili yule mbn simba 🦁🦁 watachimba dawa sanaaaa Dah yanga siyo wema hata kidogo🙌🙌
2026-07-30 10:50:19
2
user4377312262294
wiliamu bahaye :
hamna unacho zungumuza
2026-07-29 09:18:19
2
sarhatymaunda3
sarhatymaunda :
bado
2026-07-29 09:32:50
1
user794199097593
Sylvester mashimba :
na bado hamjakiona cha Moto mshaanza kulia mapema hivi😭😭😭😭
2026-07-29 12:27:07
1
emmanwelgodfrey
Emma Peinter :
ajamsema mbaka mseme msimu huuu 😂😂😂😂
2026-07-30 20:36:01
0
edwinn.kibelenge
Edwinn Kibelenge :
kilicho wafanya mkatiti uwanjani kwetu ni nin ?
2026-07-29 18:48:55
1
fatmaally40
fetty 442911 :
Pesa zetu za kodi hizo
2026-07-30 13:32:46
1
chris.charles507
Chris charles :
poleni sana watani mwaka huu tutawapa pumzi ya moto sana
2026-07-30 15:09:48
0
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
😂😂😂😂
2026-07-30 14:32:49
1
mrshynas
Mrs, Hynas🦋😇💔 :
tulocheka tujuane😅😅😅
2026-07-30 23:21:05
0
user7268307536213
farida :
😁😁😁😁😁 ila mume wangu safari hii ataliaaaa 😁😁😁😁
2026-07-31 09:02:39
1
israelwilson244
Israel Wilison :
Nabado sana had mseme
2026-07-31 11:18:40
1
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About