kuna aliefikisha 35 bila ndoa kamm kuna wakati nahis ni mkosi kumbe mifumo ya kidunia
2026-07-28 19:48:23
12
Kenan :
Kuna jamaa nimepewa stori zake aisee jamaa kiuchumi alikiwa vizuri sana ila kaja kuangushwa na Ndoa..yaan ukiwaza sana mpaka unakata Tamaa
2026-07-28 19:03:59
13
Jerry Motors🚘🚘🚘 :
Ndoa ni muhimu Kiimani kama imani yako huijui inazungumzia nini kuhusu umuhimu wa ndoa...hutaona umuhimu wa ndoa Watu wengi wanaopinga Ndoa imani zao zipo chini sana
2026-07-28 16:24:43
11
ms_niccah :
Ebu subili kwanza niolewe ndio uwasambazie sum wenzio🥺
2026-07-28 20:12:41
11
Awazi Juma :
mwanangu nakukubali sana
2026-07-28 19:53:29
4
Festo James :
Sahihi Kabisaaaaa Yani kabisaaaaaa Kabsaaaa Man.... Upo Sahihi Saaaaaaana💯💯💯💯
2026-07-28 19:02:53
6
leyp :
Christopher wangu nae akue akijitambua km wew
2026-07-28 09:36:42
10
kagito :
Asaiv hata sa msingi zikiwepo no kuoa
2026-07-28 19:25:08
7
MUK BEES MACLASSIC :
nakazia na me tusione kama hatuna sababu za msingi🖐️
2026-07-28 18:33:36
5
salumrajabu819 :
Nakukubali sana kaka uko vizuri sanaa
2026-07-28 20:02:42
5
it's me🌺 :
sa mtu anataka watot anatakiwa kuzini
2026-07-28 09:23:21
7
shoni :
siku hizi ndoa ni kama kamari kuna kupata na kukosa
2026-07-28 17:10:14
7
luckysiame720 :
fany vyote ila kumbuka maisha yako ni jukumu lako la msingi
2026-07-28 16:51:51
5
m :
True
2026-07-28 21:18:23
2
Reckon 255 :
umeongea
2026-07-29 04:40:27
2
salomekaitani :
kweli kaka
2026-07-29 04:32:32
2
Patrick Chakaleka :
tunaingiliwa kimaisha
2026-07-29 05:17:47
2
mondi star :
bila kuwa tajiri hapa ndoa kwangu ni ngumu sana amina utasubiri kwanza nipate utajiri😂😂
2026-07-29 05:52:29
3
To see more videos from user @jay_sean_17, please go to the Tikwm
homepage.