@healthyfity1: Replying to @user4465375281021 JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula??Unataka kurekebisha mfumo wako wa tumbo (acid reflux) Na koo??. Basi ni lazima kurejesha afya ya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula yaani kwa 1.kuweka sawa msawazo wa acid tumboni 2.kurekebisha valve inayotenganisha tumbo Na koo 3.kutibu michubuko na vidonda tumboni na kooni. 4.kusafisha mfumo mzima kutoka kooni adi njia za choo. 5.kuongeza msawazo wa bacteria wazuri tumboni JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula?? +255.696 256.671 #acidreflux #digestivehealthclinic #sorethroat

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 10:45:25 GMT
3277
35
6
5

Music

Download

Comments

kidudu4
user889293935427 :
Docta namii pia nateseka Niko DRC nisemeche please
2026-07-28 21:53:55
0
user4946136398086
Fatma Nahoda :
habari naomba msaada wako plz nimevimba koo na kupata maumivu kwa mbali shida inasababishwa na Nini plz
2026-07-29 07:15:32
0
mwanaisharashid14
Dogo :
mm pia napitia hii changamoto wallah lkn matibabu jamani yako na kiwango cha huu aki😫
2026-07-29 11:15:31
0
sweetmom154
thureyaothman85 :
doctor dawa kias gani mm nna changa moto iyo na unapatikana wap
2026-07-29 05:34:18
0
user10342184923384
neemadm :
daaah hata sijui nielezeje haya mateso ninayo pia
2026-07-28 17:50:24
0
petermutesa
petermutesa :
ndio. tena. sana
2026-07-28 11:17:24
0
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About