huyu paķa mbn ywafanana na mamake waiguru wangu ama niyeye ywanisema mimi maana,amanichukia mbaya😅😅😅😅
2026-07-28 17:48:42
16
🫶Favoured🫀❣️💞 :
mm wananisengenya hata nikiw n sishtuki
2026-07-28 21:19:36
7
Marlyne Bildan :
the voice of my madam eiii!!! sijui amerogwa na filipino ama nn,,sahii makosa kidgo anasema tu ntaleta filipino eiiii n mbya
2026-07-29 09:03:07
2
Its me🥰 :
Wanasema mimi ni mshindani jili najitetea na kukataa kutumika vibaya🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 16:12:05
7
Eunice 💚💙🩵 :
mm hata nimezoea hata. Wenyewe wanadhania siwaelewe eti 🤣🤣
2026-07-29 17:02:32
4
Luhya lady💥 :
mi tangu niskie wangu akiambia mama mkwe wake eti soda hazikaangi Kwa fridge shaghala akiwa....,..na si aliniambia my house sem sem your house eat what you want🤣🤣🤣🤣🫣
2026-07-29 08:15:50
3
MAMAA 002🇰🇪🇰🇪 :
me dont care 😂😂😂😂
2026-07-29 17:59:01
2
lord my shepherd :
uyu ni waiguru wangu,adi anakaa yy kabisa
2026-07-28 20:45:55
9
✨️Queen Moh🇱🇧🥰🩵💚 :
😂😂😂
2026-07-28 13:07:01
1
GOMA RA KIMWANGARI :
ni mm kabsa wanisema lakini Bora wasinizimie wifi na wanipe chakula na fulus isichelewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 17:12:41
0
moraa :
Mimi ni jowali jowali🤣🤣🤣🤣
2026-07-28 20:42:04
2
The Viper :
tangu nijue mimi ndio nakuaga topic niliacha kujipendekeza 😁😁😁
2026-07-30 19:54:50
2
Hafsa aboudy :
ni mm kabsa 😂😂😂😂😂 waniseme tu najua Bado kidogo 😂😂
2026-07-28 13:07:41
0
it's irene ❤️ :
yani uyu ni mm kbsa yani naongelelewa mbka bc aise mm mbka nasikia kugive up jmn aaah aise
2026-07-28 20:41:28
1
Natasha :
ukweli
2026-07-28 12:06:56
0
martha kuria :
mm ananisengenuanga mbaka nikiwa nawakicheka nacheka pia juu najua Niko huku kwa muda nitamuondokea tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 14:18:04
0
African queen 👑❤️💍🇰🇪🇶🇦 :
huo ndio ukweli uko 😂😂😂
2026-07-28 12:29:51
0
wa mangìh :
na kwani wote wako voice samesame
2026-08-01 14:12:36
1
@VajpolB.Angel :
😂😂😂😂😂😂Jamani sis ndo topic left right center and round 😂
2026-07-28 19:03:03
2
Jane 🤎 :
lkn saa za kuhome wanakata tikiti mbili...ati urudi🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 11:49:56
2
❣️Luhya Bebe Official❣️ :
wangu huniongelea daily. alisema mimi nko na attitude mbaya😂😂😂
2026-07-28 18:10:39
1
michelle shiru :
huyo ni mm huongelewa every Thursday 🤣🤣🤣
2026-07-28 19:58:30
0
user8517166056080helen aebo :
hiyo ni mimi last week sista madam come na watoto wake ukipita watoto wanakuangalia nikama Wanaconfirm kitu kwako
2026-07-28 22:55:01
0
To see more videos from user @adande354, please go to the Tikwm
homepage.