@khalifa.said4: hii ni hoja yangu ya kwa nini tunapaswa kuondokana na magereza, na mfumo mzima wa haki jinai uliojikita kwenye kuadhibu na kukomoa, na kuja na mfumo mwingine tofauti kabisa.
we jamaa unaakili kubwa sana, kibayq nikwamba nchi haitaki watu wenye akili
2026-07-28 14:43:35
19
Yustis Earl John :
Moja kati ya taasisi ambazo haziku fanyiwa marekebisho kabisa baada ya uhuru ni Magereza. Mbinu alizozitumia mkoloni miaka ya 1950s ndizo hizo hizo zinatumika leo. Hata mkoloni mwenyewe leo hii karekebisha kule kwao. Magereza kule sio jeshi. Ni idara ya huduma ikiitwa Crown Prison Services na inaendeshwa kisayansi kabisa na sio kijeshi kama huku kwetu.
2026-07-28 13:19:55
9
Joseph Chikunde :
Hii ni akili kubwa sana
2026-07-28 23:06:16
7
flomalakiicloud.com :
Mtu akitenda mauaji unamfanyaje zaidi ya adhabu
2026-07-28 16:57:34
1
John Mwasala :
ni ukweli mtupu kaka endelea kutupa elimu
2026-08-01 16:19:05
1
𝐉𝐎𝐒𝐄𝐏𝐇🔷 :
hii ni kweli kabisa watu wengi hata akiwa ndugu yako akitoka jela unamuogopa badala ya kumpenda au kumpokea kama mtu mwema
au mtu anatoka na tabia tofauti na alizoenda nazo anakuwa hatari zaidi
2026-07-29 08:37:42
2
maconection :
fact
2026-07-29 18:29:09
0
rajab :
lnamaanisha watu wanauelewa mkubwa sana lakini wanabanwa!!kutumia uhuru wao!
2026-08-02 16:54:59
0
lgffumbuka :
what is this?
2026-07-29 06:41:55
0
Chikonkolo :
@Chikonkolo: Brother natamani kuwa mwanafunzi wako kuna vitu natamani Nivijue kupitia ww 🙏
2026-08-02 07:14:22
0
Simulizi :
Word of the day 🙏🙏🙏
2026-07-28 11:59:25
1
Joh Electromechanics Engineer :
Very true mr, ila tatizo kubwa viongoz wengi tulionao hawana akili nzuri kujua namna ya kuongoza watu
2026-07-30 01:19:15
3
ka_bway :
nakuelewa sana bro speech zako zipo classic
2026-07-29 19:31:16
1
Benard :
Unaongea ukweli lakini, watakumaindi.
2026-07-31 03:43:24
1
Intyanyi :
Hizo ni story zako binafsi na tunaziheshimu, ila njoo na takwimu rasimi sio story kwasababu mtu mmoja au wawili wametoka jela wakaua tena basi tuone wafungwa wote waliomaliza vifungo wanafanya uhalifu. Tupate takwimu za wafungwa wanaotoka magerezani hapa Tanzania kinamba, je ni % ngapi ya hao wafungwa wanarudia makosa waliyofanya au wanafanya makosa mengine na kurudi gerezani. Hizi takwimu za kinamba ndizo zitatupa muongozo mzuri wa kufanya maamuzi nasio kusema tu vyombi vya habari huwa vinatangaza, kwasababu tukio moja la mfungwa mmoja kufanya uhalifu linaweza kutangazwa na vyombo hata 20, kwa namna hiyo ni rahisi kuona wafungwa wanaoachiwa wanarudia kufanya makosa yaleyale
2026-07-29 12:21:36
0
kit .b :
magereza ni sehemu ya kutesa watu lengo wafanye wanayotaka wao, polisi akitaka rushwa anakufungia chumba kisichokua na hewa chenye mavi akiamini ndani ya muda fulani utakubaliana tu
2026-07-29 02:02:04
2
peter-son :
huwa naona wafungwa wakibebwa kwenye fuso za kubeba vifusi wanapelekwa kufanya kazi,kuna muda mvua inawanyeshea hakuna anayejali hilo.
2026-07-28 13:15:19
3
Anyel Mwambela :
Nakuombea kwa Mungu akutunze,,, maana magaid halisia watakuteka na kukuua
2026-07-29 01:41:33
2
G A V I C H :
🧠
2026-07-29 06:37:37
0
Hamisi Bakari Mkojera :
mi nadhani gereza ziwepo ila zibadilishww mfumo kutoka magereza za kikoloni tutengeneze mfumo wetu
2026-08-02 18:01:27
2
To see more videos from user @khalifa.said4, please go to the Tikwm
homepage.