jamani ni mumewe kwani hafai kua nae jamani . beautiful wife with her handsome hubby. ALLAH awahifadhi na maovu na macho ya watu. awape kila la kher.
2026-07-28 13:52:27
6
zuu :
mi ata sisemi kitu , hila hawa watu waupe dadangu, acha ninyamaze labda kiliniramba peke yangu 🫣
2026-07-28 16:25:09
1
jiwe :
MashaAllah. nawaombea waishi kwa furaha kwa ndoa yao na upendo usokwisha.Allah awajaalie maisha mema🥰🥰🥰
2026-07-28 20:13:49
0
user7663257597502 :
mashallah
2026-07-28 11:52:44
1
user9288453985079shahad :
kweli huyu ndo bwana au ni Ai
2026-07-28 13:38:08
1
sia :
kwakweli ulipendeza sana
2026-07-28 12:01:22
3
Eunice O :
👏👏🌹♥️
2026-07-28 20:29:19
0
aminanimbona733 :
mashaalah
2026-07-28 11:54:55
1
iamdaisy🤩 :
🥰 maashaallah
2026-07-28 20:28:52
0
Eishahussein :
mashallah ❤️
2026-07-28 20:30:18
0
faizamuhaa :
mashalla mola awaepushe na macho ya husda na uovu mola awalinde na mzae watoto wenye barka muwe na maisha marefu na msigombane katu 🥰🥰 nawaombea muishi na furaha katika ndoa yenu. AMIN YARABI
2026-07-28 20:31:16
0
zahria :
mashallah mpambaji alifanya kazi yake
2026-07-28 13:35:11
1
ruzalmohamed :
maAshaallAh mwenyezi mungu awape maisha mazuri
2026-07-28 19:31:58
0
Mamitho :
Mashallah
2026-07-28 14:33:17
0
Sity :
mashaallah
2026-07-28 13:34:35
0
user7401227252019 :
mashallah
2026-07-28 11:53:39
0
allahumah barik :
mashaalah
2026-07-28 14:40:40
0
user8736566366322 :
MashaAllah
2026-07-28 13:54:18
0
Rahima :
Masha ALLH ALLH awape maelewano na maskizano na upendo daima awalinde na kila baya na watoto wema Masha ALLH mumpendezana 🥰🥰
2026-07-28 12:07:44
0
Rahima :
mabruk🥰
2026-07-28 12:08:39
0
MOZADECUTE 🌹 :
mabrooq
2026-07-28 21:22:25
0
Aisha Amiru :
mashaa allah
2026-07-28 12:29:24
0
shuuu :
mashallh nurrah
2026-07-28 12:09:05
0
Thamima :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-28 21:02:54
0
Fatema Oman :
🥰🥰🥰
2026-07-28 13:59:47
0
To see more videos from user @itsmenikix, please go to the Tikwm
homepage.