allah atamuafu inshaallah pia pongez kwa wale wanaopambania afya za ndug zao allah awafanyie wepes kwa mnayoyafany🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-07-28 12:35:43
15
user9101058820888 :
pole sana kaka yang allah akuafu
2026-08-12 12:13:05
2
bimlatt tz🇹🇿🇹🇿❤️❤️ :
Allah amfanyie wepesii katika kila hatua amiin 🤲 thumma amiin amiin maqbool Yaa rabby 🤲🤲🤲🤲
2026-08-04 08:50:47
4
madam boss :
Laa baasantwahura inshaallah🤲
2026-08-12 04:58:39
1
56 kipaji njali mc :
allah mjaalie mjawako huyu afya na uzima ili aweze kuendelea kuisambaza dini kwa uzuri
2026-08-06 18:52:01
8
uxalama boy :
pole xn br mung atakufnyia wepex uwendele na xhukhul zk
2026-07-31 20:13:47
2
user7210361150554 :
mungu akupe wepesi ishallwa kheh pole sana
2026-08-13 03:16:05
2
aisha abdalah :
pole sana mungu atakuponya to
2026-07-28 14:53:29
3
Amza 3025548818715 :
pole sana ndugu yetu allah atakufanyia wepesi
2026-08-12 17:12:48
2
user391633663517 :
Allah akufanyiye wepesi Akupone maradhi na akupushe na husadi🙏🙏🙏😭😭
2026-08-14 19:31:18
2
aixhuna@♥️♥️ :
Mungu akufanyie wepesi inxhallah kaka angu
2026-08-05 15:22:53
1
mwana :
pol sana allaah atakup shufaa inshallaah
2026-07-28 16:27:56
2
lonely_26_code :
pole sana shujaawetu allah akujaalie upone tuje tujumuike na wewe tena
2026-07-31 20:07:32
3
Muhammad Mrajavic :
pol
2026-07-31 08:38:44
1
Ani_girl3 :
sasa hayo ndo mambo inshaallah ALLAH amfanyie wepesi katika matibabu yake ikawe suud yake awez kupona na kuwa kama zamani inshaallah hakika Allah ni mwema na mwingi wa rehema🥰🙏
2026-07-28 17:36:29
2
iddi :
pole sa kaka yangu mungu akujalie upone haraka inshaaAllah😭😭😭
2026-07-29 03:03:20
1
mrs hajrat_2009 :
Ya rabbi mfanyie wepes binaadamu mwenzet ustadh wetu shekh wetu katik safar ya matibabu yake inshaallah
allah ampe shufaa na uvumilivu amin 🤲🤲🙏🙏
2026-07-28 13:36:37
5
Ankali 32 :
vp wupo sememu gan na mm nataka nifike nimuone
2026-07-28 15:34:18
2
khairaty ramadhan :
Allah akupe shufaaa na wepes katk matibabu yakoo
2026-08-08 19:58:49
2
💫Ukhty safia💫 :
kumbe ndouyu me nilikua cjamjua mwenyez mungu amfanyie wepesi apole haraka kweli maradhi Yana mbadilisha mtu
2026-08-12 20:22:46
1
DR SILO PHONE ACCESSORIES :
Ali ismail namkumbuka kwa mengi Ila
huyu jamaa kaswida zake nzur saanna
eewee MOLA WETU MPE AFYA NJEMA
NDUGU YETUUU
2026-07-28 12:43:33
4
Nasma Hassan :
pole sana allah akufanyie wepesi inshaallah
2026-08-11 18:29:38
1
Husna Ally :
mungu akufanyie wepesi kaka yangu nakupenda mno
2026-08-12 09:43:19
1
user8724019712620 :
Allah asimame na wote Inshallah munasimamia na kujali matatizo ya wengine
2026-07-28 17:51:26
1
To see more videos from user @mkakawaforodhan1, please go to the Tikwm
homepage.