@feras13780:

قاعة ليالي السحاب الملكية
قاعة ليالي السحاب الملكية
Open In TikTok:
Region: IQ
Tuesday 28 July 2026 12:32:47 GMT
2070
366
2
25

Music

Download

Comments

dybs2txmjslv
المـᬼ🚬⑅⃝ـᬼـهيب👑 :
🥰🥰🥰
2026-07-29 01:41:30
0
2001m19
حمودي :
❤️❤️❤️
2026-07-29 08:44:11
0
To see more videos from user @feras13780, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

JE NI KWELI DULLY SYKES NDIE MUASISI WA MUZIKI WA KUIMBA TANZANIA!? @princedullysykes anasema yeye ndio muanzilishi wa muziki wa Bongoflava.  Je unakubaliana nae!? BONGO FLAVA  ni jina ambalo linatumika kutambulisha muziki wenye asili ya mahadhi ya Tanzania (Bongo). Kumewahi kuwepo na utata kuhusu ni nani muasisi wa neno
JE NI KWELI DULLY SYKES NDIE MUASISI WA MUZIKI WA KUIMBA TANZANIA!? @princedullysykes anasema yeye ndio muanzilishi wa muziki wa Bongoflava. Je unakubaliana nae!? BONGO FLAVA  ni jina ambalo linatumika kutambulisha muziki wenye asili ya mahadhi ya Tanzania (Bongo). Kumewahi kuwepo na utata kuhusu ni nani muasisi wa neno "Bongo Flava" mwanzoni walisema ni mwanamuziki wa Reggae, #JahKimbute alisema ndiye aliyeasisi neno hili pale alipoamua kuchanganya muziki wa asili na reggae na kuziita Bongo Flava. Pia kumewahi kuwa na vyanzo vingine kama Mtayarishaji wa muziki P.Funk @majani187 na #DJBonnieLove wamewahi kuhusishwa na uasisi wa neno Bongo Flava ni ambaye aliliasisi neno hilo mwaka 1998, Madai haya kuhusu waasisi wa neno Bongo Flava linaonekana kupingwa vikali na Mtangazaji wa siku nyingi, Michael @mike_mhagama Mhagama ambaye anadai kuwa yeye ndiye mwasisi wa neno hilo na aliliasisi katika kipindi chake cha DJ Show kilichokuwa kinarushwa na @radioonetz miaka ya 1990 hususani mwaka 1996. Katika makala yake, Mhagama anasema, “Ilipofika dakika 30 za muziki wa R&B, siku hiyo nilikuwa kwenye usukani na kwa mbwembwe nilicheza nyimbo ya kundi la R&B lililoitwa 4Krewz Flava na baadaye kuiunganisha na nyimbo nyingine ya Unique @uniquesisters_official. Kwa vile midundo,mpangilio,lugha na utaalamu wa muziki wenyewe kamwe huwezi kuufananisha na ule wa Soul 4 Real au SWV kutoka Marekani,tulipenda tutofautishe kidogo kati ya aina hizi mbili na ndipo session hii niliibatiza jina ambalo lingetofautisha R&B ya Marekani na ile ya kwetu….niliipa session hii jina la BONGO FLAVA.” Wengine waliowahi kuhusishwa Ni pamoja kuwa ni waasisi wa neno Bongo Flava ni DJ. KBC, DJ. Phat Black, @dj.venture @djstevebtz Hii inamaanisha Muziki wa Tanzania ( Bongoflava ) ni muziki wa kuigia!? Vipi kuhusu hizi samples ,huwa wanafikia maridhiano na wenye nazo!? #dullysykes #bongoflava #mikemhagama #djbonnielove #muzikiwatanzania #tiktoktanzania #insideoutz

About