mimi nimekutaman ila kwa hiyo michambo mimi naogopa mim fund anayeongea sana namwogopa sitaki niwe site na fund nishindwe kumwambia apa ikiwa hivi je hapa napenda hivi
2026-08-10 08:49:51
1
KP CHIMBO Nails 💅 :
chaliyangu tusemee asee nikweli daa
2026-08-04 07:57:28
0
mkundanohesron :
fact brooohh
2026-08-04 12:45:23
0
Abuu dhary :
Kweli kabisa kuna mmoja alinipelekesha mwisho wa siku kaingia mitin sasa hv kupiga hesabu sh 50000
2026-07-29 11:01:40
1
Fatuma Semponda :
kabisa ndug mabos wanatabu sana
2026-08-01 11:37:48
1
Dancan Namayengula :
Duuuuh Aise mm mmoja Kati ya hao yamenikuta Sana mm ni fundi umeme aisee inauma bro
2026-07-30 20:27:06
0
fahad :
fundi unapatikan wapi mim nipo zanzibar nataka kazi nimeipenda
2026-07-29 17:03:24
0
williamngogo728 :
nimependa kazi yako unapatikana wapi
2026-08-08 09:01:24
0
Ommy Athuman :
nikwel mkuu humetish san
2026-07-29 06:01:30
0
marshed :
fundi upo wapi
2026-07-31 07:26:33
0
Technician :
Kwa heshima kaka 🔥
2026-07-29 07:59:04
0
Hassan paints kilimanjaro 🇹🇿 :
kali sana mkuu✌✌
2026-07-31 19:32:41
0
muya :
weka namba kaka
2026-07-29 02:58:19
0
Arif Bathigili :
fundi weka number yako
2026-07-29 15:45:31
0
Fape :
Shida bei jamani,Kazi moja tofauti ya bei mpaka million,Tatizo mafundi wapigaji hasa hawa unapewa namba na mtu huyo naye anataka cha udalali fundi badala ajiongeze mwenyewe huko wanashirikiana kukupiga
2026-08-04 10:15:57
0
khamis :
kwani kuna shida gani watu wanalinganisha gharama za ujenzi kutoka fundi mmoja kwenda mwengine sema chamsingi lazima ulipwe gharama zako kwa sababu mpaka kufika site umetumia gharama
2026-07-31 08:55:54
1
KELVIN MAKWETA :
kaka mm nimependa kazi yak ila mungu akijalia nitakuita nik pwan tu ila bado naweka saw sunajua maish yetu watu wa chin tunaungaunga kwnz kikubw uzima
2026-08-21 10:17:11
0
nyariuhyoma :
huwa tunalipa hela ya site visiting bana wee
2026-08-15 04:45:06
0
miss dion :
mim kuna fund nilimtumia nikiwa mkoan mbeya alinifanyia finishing yule fundi yuko social mcheshi yan nikienda kushinda site had sichok anakushauri mstaarabu ila mjanja yan mnacheka ila anakushawishi kimojakimoja kila siku nikajikuta hela ya aluminium yote nimepa yy kumalizia decoration palipendeza sawa ila sikuplan alininyoosha😂😂 saiv niko Dar nawazaga nitakuja kumpata kama yule watu wa Dar wanaongea kama wananichamba huku wanahasira mmm
2026-08-10 08:54:25
0
Abu Dhakar :
tatizo mafundi wengine wanakuwa na tamaa, anakutajia Bei kama anataka kununua ndege hlf mwengine anakutajia Bei simple sana na kazi ina pendeza mpk unamuongezea posho
mda mwengine mafundi mnayataka wenyewe, mm ni muhanga katika ucmamizi wa ujenzi
2026-08-18 05:14:40
0
Malhaba Ally :
fundi naomba namba yako
2026-08-08 20:13:50
0
Msumi Shabani :
sema unapatikana wapi tukupe kazi acha malalamiko
2026-08-05 06:56:30
0
engineer :
ukitaka kumtuma kazi fundi ulizia kwa watu sahihi
2026-07-29 03:33:14
0
To see more videos from user @wiriplusedecoration, please go to the Tikwm
homepage.