aslmlkm hkk machozi lzm yakutoke ikiwa unaimani thabit na roho ya kibinaadam mungu awalinde hawa waliowatembelea pamoja wao wenyewe allah awaponyeshe hkka yeye ni mjuzi wa mengi ipo haja kwa kila mmoja wetu kwenda.kuwafariji hawa watto allah atupe taufiki insha allah
2026-07-29 11:21:14
9
Chaunabe act :
😢😢😢😢Allah mjaliye huy mtot inshallah
2026-07-29 04:23:09
18
Ummu Suhayla :
Amina allahuma aamin
2026-07-28 20:05:17
10
sA :
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ametakasika Allah mbora wa kuumba 🥰
2026-07-28 20:10:44
8
Hinayzmina🧕 :
maskin allah ampe nguvu
2026-07-28 20:51:38
8
fatuma ibrahim :
ya rwabi tujaalie husnul khatima
2026-07-29 04:34:13
6
jesca rwegoshola :
aaaamen, Mungu wewe nimwaminifu maombi haya yapate kibali machoni pako, Mtoto huyu ni ushuhuda kuwa Mungu wewe ni mkuu
2026-07-29 03:09:41
10
fatma fadhil :
mashaallah hii ipo wapi tukitaka kutoa msada
2026-07-28 17:28:35
14
Dhurak Kiss_D :
Mashaallah, Yaa Rabbi pokea hii dua🤲
2026-07-28 20:42:33
5
🌼Libna🌼 :
Tuliolia tujuane 😭😭😭🥹🥹🥹🥹
2026-07-28 20:30:19
11
BIE TAJIRI :
mashaallah nimelia jamani dua nzuri sana kwa mtoto anajitahidi na walimu mungu awape kila la heri mashaallah walezi bora
2026-07-29 04:38:52
6
siwazuri :
kituo kipo wapi jamani
2026-07-28 23:23:13
5
To see more videos from user @rupia075, please go to the Tikwm
homepage.