@alihsaantv: ULAZIMA WA HUDUMA | SHEIKH IZZUDIN ALWY

Al Ihsaan Tv
Al Ihsaan Tv
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 28 July 2026 13:45:49 GMT
6970
327
15
55

Music

Download

Comments

shumimuhammad7
SHUMI MUHAMMAD :
Aa mm mumewangu ametoka yy nyumbani hatupi chakula wal hatujui kwa chochote wa hajaniacha nasijui yuko wapi amebeba kilakilochake mpk kitanda tunacho kilalia ameenda nacho na godoro lake je hukmu yangu ninini.
2026-07-29 03:51:59
2
chuna5927
chuna :
mimi mumewangu anamwanamke yani girl friend tena huyo mwanamke alikuwa rafikiyangu kumbe wananiendeya kinyume nilipojuwa sikuweza tena kukaa na mume but hataki kutowa talaka .je unanishauri nini?
2026-07-31 20:04:50
0
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
🥰
2026-07-31 21:59:45
0
shakilamakena
SHAKILA MAKENA :
nakikata kupa
2026-07-28 21:57:00
0
ummusalama844
ummusalama :
hilo silo swali ...kulingana na swali alienda kwao kusubiri talaka
2026-07-29 07:39:08
0
ashakhamisi
Asha Khamisi :
Kwa kuwa hakuwa akitoa huduma ni vyema ukitoka.pili shekhe utaweza wapi kumpa unyumba wakati una huzuni?shekhe hilo ni jambo gumu ongeeni na wanaume Jamani wananyanyasa wake zao
2026-07-29 09:57:49
0
muna.bhai573
Muna Bhai :
Allah Akupe Afya Na Umri Uzidi Kutupa Elimu Na Kutukumbusha Maneno 💯💯💯 Hakika
2026-07-29 10:24:14
0
dr.k_chiropractor254
Dr.K ChiropracticeKe :
Wa sasa hawakupi talaka kisha watoka wao....
2026-07-29 05:59:57
0
mbauwa8
mbauwa :
Je kama yy ndio mume hakupi unyumba je
2026-07-30 18:42:43
0
mchara84
Jajaa40 :
je ukitolewa na marungu😁
2026-07-29 17:56:08
0
fatuma.ndalanga
Fatuma ndalanga :
SWa lakinhakupi ela ya kula hakup unyimba na hull nnje sku 3 na akija hulo anakuja na matus je hyo nayo
2026-07-29 12:52:26
0
ummumoza1
ummu moza :
🥰🥰🥰
2026-07-30 18:14:41
0
queendina82
queendina82 :
😁😁😁😁
2026-08-02 12:33:10
0
To see more videos from user @alihsaantv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About