sometimes you have to let go to get what you deserve no matter how it hurts,as long as pains don't last forever
2026-08-01 11:43:42
0
Ren backup :
huwez amin nilikuwa kwenye hiyo hali
niliumia kwa mwezi mzma nikaacha shobo.....kijana sahiv anajirudisha kwa kasi na mm upendo ushapungua mno
2026-07-29 05:48:38
10
Viva 🎀 :
Sababu ya kuachwa ni kumpenda 😁😁😁
2026-07-28 15:30:12
10
swirry_bae🦋♍️ :
Tatiz ni kwamb ,mwanaume ukishampend Anakufanyia vitimbwi anakuacha😏😏. Akubaliaan na Hali japo ni ngum , Aanzekujipenda yy kwanz na amoveon afanyemaisha yake, Mungu atampa mtu mwingine
2026-07-28 22:09:30
5
Itshappie🫶 :
Amuache tu ajichague yeye hapo Hmna kitu😌
2026-07-28 19:14:56
1
🌹Gee💖 :
Dada umetumia rasta gn
2026-07-28 17:08:58
1
it's cier 🌷 :
atkubali Ku move on ndo kilichopo
2026-07-28 15:31:46
1
Lydia :
hata aspoteze muda wake ajilende ajichague asome Biblia iwe ndio rafiki yake maana ukingoja Bwana utachelewa sana achilia moyo wako songa mbele
2026-07-29 14:34:11
2
asnath :
Hiyo ishanikutaga nina experience nayo huyo alikua ashapanga kumuacha toka zamani chakufanya futa number, picha futa kila kitu na ukaribu apunguze ingawa ni ngumu, ajitoe kama ana marafiki asikae mwenyewe yaani aachane nae ata atafute watu gani ndo anaendelea kumudharau ko amove on ashaachika tiali huyo
2026-07-29 14:59:55
0
cute :
tumeshaiona
2026-07-28 18:15:08
0
🌹Momy🌸Roseline🌸 :
mbali mbinguni bn weee🥰🥰
2026-07-28 20:14:34
0
jwill026 :
Abembeleze hadi moyo wake ukichoka ataondoka hatuwez kumshaur hyo
2026-07-31 12:56:28
2
Golden brown :
Yan hiyo story imenigusa Aachen nae tu mm nliamua ku move on tu nlichoka kulia🥺 CHOOSE YOUR SELF MAMAAA❤️
2026-07-31 03:40:54
1
Evelina Elias :
aendelee na maisha yake Mungu atamlipia
2026-07-29 08:45:36
1
debra :
Mwambie ani dm huyo dada prisca
2026-07-30 19:06:28
0
SHIPAPY TRENDS🛍️ :
Jamani siwezi vumilia mwanaume mm😂💔
2026-07-29 07:05:59
1
Viva 🎀 :
Mulize kwakina mov on apajui nimpeleke 😆
2026-07-28 15:31:04
1
me & I😘🌹 :
mh yeye anatumia hisia sisi washauri tunatumia akili so some how kuna ushaur utazidi kumumiza so yeye achague kitakacho mpa fraha yeye kama yeye
2026-07-30 08:00:04
0
Hye Min :
amwombe Mungu ampe mtu sahihi
2026-08-02 17:36:23
0
sweetcaro🌹 :
Heartbreakz zimeumbiwa wanadamu jaman😁 though hatuombri ziwe zinatokea lkn mdada inabidi akubali hali., atatufe maisha yake, ajipende aache kumtafuta, asali amuombe Mungu ampe uvumilivu wa kuishi bila huyo kaka,
2026-07-29 19:41:27
0
luxie_gowns🛍️ :
Usikute ndo huyu mpnz wangu wa sasa ndo ex wa mtu uko😂😂😂
2026-07-30 17:45:17
0
Eng. Eze :
Wa
2026-07-30 19:05:33
0
To see more videos from user @chica_fourteen, please go to the Tikwm
homepage.