kweli bwana mimi nilipigwa kwasababu nilikosa kuswali alfajiri , lakini baada ya hapo kanisaidia sana imekuwa naamka mapema alfajiri kabla ya sala ya Alfajiri ....
Mungu awalipe kheri walimu wetu ....
2026-07-29 10:44:36
3
Maestro :
mwanangu shila..dah umesema mwanangu
2026-07-29 08:20:18
7
Fatma Imam 🧕🏽🥰 :
😂😂😂😂😂Na ndio sisi tulio lelewa hivyo tupo na ibada moja kwa moja hujaongopa
2026-07-29 11:10:48
2
Ummu Qismayn,💕 :
ustdh iddy mungu akutunze we baba ulijua kutufinya😂😂
2026-07-29 08:01:45
3
hakam :
oyaaaa nakumbuka hii madras huko mbagala kuu fat,hu huko n balaaa
2026-07-28 23:24:14
1
makunjaaaa🏃🏻♀️🪡🫀shuyuqii :
hapo kwenye shaba duh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 07:42:55
4
muya jr :
nlishawah kupigwa form 2 nyumbn kesi ikitokea shulen akiileta ostadh home 😂
2026-07-28 21:53:05
4
:
Madrassatul Immani Isslamiyya🔥🔥
2026-07-29 09:18:23
1
DYLAN🏃 :
kwer kbc br umenikumbush mbal cn 2010 hy
2026-07-28 15:31:23
4
buyboy7 :
halafu sisi maostaz wa siku hz wadogo wadogo
2026-07-29 12:24:43
0
user3514542665258 :
😂😂😂😂 ila Sheila nimecheka sana
2026-07-28 17:11:54
3
Mom Shuu :
kweli kaka ila tumepigwa sanaa duuh
2026-07-28 17:14:02
1
Chande Saidi Kajumba :
Sahihi
2026-07-29 11:09:49
0
052 DVPPER :
Amini mwanangu
2026-07-29 11:24:39
0
zuuh. 0fficially⛎ :
mm kila siku nilikuwa napigwa sivai juba😁🤣 nikiwa nyumbani na lazima shekhe akipita ananikuta Sina juba😁
2026-07-29 13:51:56
0
Muhamed Daudi Awazi :
Hahahahahhaha daa nime cheka sana kaka ume nikumbusha mbali sasana😂 daa
2026-07-29 12:35:57
0
nah 1💕 :
ewaaaaaaa mule mule😂😂🥰🥰🥰🥰
2026-07-29 14:11:32
0
Tatam :
😂😂 @@chalha..Ust. Azizi mwayta, Allah amrehemu🤲, anapita nyumba to nyumba watoro wootee kazi mnayoo🤣🤣🙌 Mashaa Allah Alhamdulillah katunyoosha🥰
2026-07-29 12:10:00
0
To see more videos from user @shilastar.2, please go to the Tikwm
homepage.