@dskileo: What a day😊 Comment kipande ulichokipenda ila Carrot 🥕 iache usiiguse kabisa😅 Kwa wenye magari, hii content ni kama somo la kukumbushana, mimi sijawahi muamini fundi kumuachia hela akajinunulie Oil, huwa naenda mwenyewe kununua na ninampelekea, mafundi wengi wajanja wajanja utakuja wekewa oil used. Nenda station yeyote ya @pumaenergy_tanzania watakupa Oil sahihi kwa ajili ya gari lako utapeleka kwa fundi atakusaidia.