@tanzania_kwanzatz: CCM mtandao Tusiwe wepesi kusahau

Tanzania kwanza
Tanzania kwanza
Open In TikTok:
Region: AL
Tuesday 28 July 2026 15:56:15 GMT
58036
3225
112
195

Music

Download

Comments

user28493292610187
Deathbed Doctrines :
we dont know who to trust
2026-07-29 05:36:35
0
shadrackmasasi
masasi :
hii nchi bila Mungu hatutoboi
2026-07-28 17:41:16
76
kevokinabo
kevo :
that's true
2026-07-29 04:47:51
1
hgagoe123
HgaGoe :
THANK YOU FOR REPOSTING THIS
2026-07-29 06:44:39
1
deborahsteven2
Deborah Steven :
I miss you mr Polepole 😭
2026-07-29 02:13:18
7
njowelo6
Njowelo :
huyu jamaa ametuachia kitu kikubwa mno kuliko mtu yeyote aliyewai zaliwa nchin ukiacha mwalim
2026-07-29 07:52:06
4
user71857285344771
King David :
Nchimbi anatumika kuwapumbanza wananchi kwa kujifanya kuiponda ccm ili wananchi wavutiwe nae maana wanajua kabisa samia hapendwi. Mtego huo
2026-07-29 04:05:31
40
maranguminmarket
Marangu min market :
sema mungu bhana yani alingoja huyu jamaaa atuambie hivi vitu ndo wampotezeeee
2026-07-28 17:36:44
51
user7356525128488
michaeli gabo :
huyu jamaa alikua mbele ya muda😭😭😭
2026-07-28 19:08:16
43
mikaelaron165
Mikael Aron :
mwaka huu hawatoboi kila wanapo piga watu wanasanuka ngoma haichezwi bila kuwa na shughuli sasa acha tuone mwisho wake
2026-07-29 08:33:04
1
evdai6
Evdai🪭 :
wa Tanzania wanasahau haraka sana
2026-07-29 06:16:20
4
abuu.madina
Abuu Madina :
free pole pole
2026-07-28 20:04:01
14
user9595007533090
BEA SIMBA :
in God we trust
2026-07-28 18:41:24
1
pinoshetmwaliwale
Pinoshet Mwaliwale :
miss u pole pole
2026-07-28 20:16:34
2
user80520936274830
jonte :
inauma sana ila mungu yupo
2026-07-28 17:07:39
16
jackson.peter83
Jackson Peter :
mungu ataleta mkombozi shujaa
2026-07-28 17:47:51
12
aishahabs01
Aisha Habs :
kumbe ukwel ndo huo
2026-07-28 16:14:02
13
user5948014123570
Jacob :
polepole alikuwa nbele ya muda
2026-07-28 22:17:51
7
newman92
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
TUMESHTUKA HII CODE HATUIACHI MAANA MICHEZO IMEZIDI
2026-07-28 21:21:16
6
charity.gervas7
G..G... classic wear 🧢👕👖 :
🤔Ila walichelewa alishamwaga Mchele ndo kinafanya vchwa vnawaka moto mpaka sasahv jamaa alkuwa mbele ya muda 🌹🌹 bado unaishi mioyon mwetu commander hakika umetufungua ufahamu♥️♥️🙏
2026-07-29 01:31:45
6
jacobkapena
Jacob :
askar mpelelez mpole na mkali
2026-07-29 01:43:29
2
mtetezi.wa.wanyong3
MTETEZI WA WANYONGE :
POLEPOLE alikimbilia wapi
2026-07-29 04:47:52
4
swahib876
young swaah :
tuanze kudai tanganyika yetu kwanza alafu ndo tuwashughulikie vizur
2026-07-29 05:42:56
2
user7567316186361
frank festo :
kuwakumbusha tu kuwakumbusha
2026-07-29 04:47:06
3
To see more videos from user @tanzania_kwanzatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About