nimechoka kusoma comments, anyway engineer Mungu akulinde
2026-07-29 18:17:26
0
elisha :
huyu jamaa anajua mpira daa Mungu akupe maisha mrefu
2026-07-28 18:53:25
169
Stany lee5 🦏 :
Facts about...
2026-07-30 05:47:29
0
Antidius Rwiza :
saiii watyini💪💪💪💪
2026-07-29 20:04:12
0
@Mopao36 :
Yaani wanayanga uyu engineer tungekuwa na uwezo tungemtoa copy alaf original tutafute kibanda tumfungie ndani ana uwezo mkubwa na big inspiration kwa watu mtu wa maana kabisa huyu 🔥🔥🔥
2026-07-28 19:35:15
117
Essau Ngwale :
wape materials
2026-07-29 01:56:44
0
Alpha smith :
simba chukueni kodi apo
2026-07-28 16:31:29
64
Joseph John :
gombea urais wa nchi wewe nikiongozi bora
2026-07-28 18:49:47
107
Janeth :
The best engineer ever
2026-07-29 20:57:42
0
jamesmussa842 :
mnao ipenda yanga laiki apa
2026-07-28 16:34:19
371
Hassani Danga :
mm simba sc lkn mependa hii
2026-07-29 08:23:34
16
nadhiru jr :
nani anaangalia saa hii 12:33 usiku
2026-07-28 21:32:51
22
Gamalsaid👨💻 :
mi simba lakini kaongea kimaisha zaidi
2026-07-28 20:47:02
19
Naftary Mgoye :
ishi sana eng. Hersi 💪
2026-07-28 17:13:14
17
MC_Chidy_boy :
Bonge moja la point 👉 Asante Babah
2026-07-28 22:38:43
11
shirra jeja :
mr president
2026-07-28 19:22:59
5
🅜︎🅘︎🅢︎🅢︎ - 𝑁 🦋 :
𝚖𝚊𝚒𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚛𝚎𝚏𝚞 𝚔𝚒𝚘𝚗𝚐𝚘𝚣
2026-07-28 19:16:19
13
majaliwa B lemblis 01 :
nikama shule tu
2026-07-28 19:12:45
8
azana interior design2 :
Anaongea kwa mifumo lazm uelewe
2026-07-28 20:27:41
6
Baba wa Tinah :
tangu nimjue hyu jamaa leo nd nmeelewa kwann wanampenda wachezaji na mashabiki wa yanga aisee
2026-07-29 05:47:55
13
brammy :
huyu jamaa mashallahh allahum barik
2026-07-28 20:18:45
8
imu17 :
nchi Haina right back 😂😂
2026-07-28 17:07:52
9
mr bilali :
yanga bingwaaaa
2026-07-28 18:54:41
15
master ✂ shy town :
kiongozi bora huyo
2026-07-28 16:38:01
12
To see more videos from user @yanga389, please go to the Tikwm
homepage.