nyie kuna watu wanaishi,,Mungu nlikuomba hivi lakini
2026-07-28 22:58:11
17
ML GRAPHIX :
Rangi ya ukutani ni White/Cream or ipi
2026-07-29 10:24:24
4
user62746572482488 :
jamn mm Nina sofa z Ugoro hiyo Meza ya katikati naweza weka ya rang gan?? Yan iko hv seblen kwang Kuna shokes ya TV nyeupe Katab nyeupe sofa za ugoro meza ya Kati niweke nyeupe au nyeusi??
2026-07-29 03:24:37
7
nasra issa :
Hiyo stella umenunua wapi?
2026-07-28 19:28:03
2
🦋 Trecy 🦋 :
dah good we msafi hadi raha🥰
2026-07-29 06:17:23
3
♡♡razyah♡♡🥰 :
i need more of this inspiration 🥰🥰🥰
2026-07-28 20:01:10
6
jonelly :
kaka bonge wewe ni msaf sana jmn
2026-08-22 16:04:42
0
Dream gal🍒♥️ :
Ko we apo ndo bonge😂aya
2026-07-29 14:00:42
2
Mtoto Wa Bibi care massage :
mm pafyum tu na mito uwiii🥰
2026-08-01 04:19:20
0
Rowelylee :
Kuna blinds uku za kitchen pamoja ma washroom bonge
2026-07-29 03:29:30
2
masai :
Nakuja kuchukua ile ya zamani baby
2026-07-28 19:26:19
1
Brianna Naam :
namba ya dalali wako mkuu
2026-07-28 20:23:52
1
jobless🦎 :
Kali
2026-08-01 16:05:18
0
KARIAKOO_MARKET :
Bonge perfume zote hizo nakuja kufata moja🤤
2026-07-28 16:21:59
1
Aunt su😘🥰_⛪_🙏😇I pray :
sasa ndio uvae kofia iyo
2026-07-29 11:49:09
0
lucylameck1993 :
tuonyeshe polepole🤣🤣🤣tunashindwa kuscrenshowt
2026-07-29 02:44:44
1
Tbway :
boss naomba namba ya fundi wa kitanda chako
2026-08-02 08:13:39
0
Tummah Modest Collection 🛍️ :
mwanaume msafi hivi naye simtaki🤣
2026-07-30 08:33:52
0
nai faras🐎 :
apo ni kwake au kapanga maana wabongo
2026-07-30 04:07:34
0
gemini💕 :
njoo unifanyie usafi na mm🥺
2026-07-29 08:17:43
0
To see more videos from user @vance_wrld, please go to the Tikwm
homepage.