@bongofive: Mwijaku amefunguka kinachoendelea kuhusu Dotto na Cherry kwenye mitandao ya Kijamii huku akiwa upande wa Dotto Magari kwamba Cherry amekosea sana na sio sawa kuzungumza Afya ya Mtu yoyote mitandaoni Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive Imeandaliwa na @abbrah255

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 16:23:17 GMT
18106
652
13
14

Music

Download

Comments

njayo77
njayo :
Mwijaku yupo vzr wanna
2026-07-28 21:05:10
0
caldo_05
MEI 🤠 :
Imeandikw mwijaku asiaminiwe😂
2026-07-28 16:34:26
8
khadja.omary47
Khadja Omary :
hata kama ingekuwa kweli alitumwa?
2026-07-28 16:35:47
3
sheyloveofficio
SHEY CHOCOLATE 🍫 🦋🦋🦋🌺 :
Anatak kurudi mjin bwan cherry 😅
2026-07-28 18:46:28
1
claudi.zawadi
Claudi Zawadi :
ila mwijakuuuu
2026-07-28 17:42:10
0
brilliantdemalove
RN🧑‍⚕️Rem💕 :
yuda🤣🙌 mwijaku kashaona mambo kama yanakua deep anajitoa taratibu😁
2026-07-28 17:03:10
8
gideon.boy10
GIDEON BOY :
duuu huy dad dotto magari atamfunga alichokifany sio poa
2026-07-28 21:25:21
1
mima.kidoti
Mbeka Nene :
Dotto kayataka mwenyewe
2026-07-28 16:30:55
4
iddisalim003
D black staa :
Jmn mwijaku asije kuaminiwa hata chembe duuu Leo kabadirika
2026-07-28 17:55:07
0
realdady889_
Jahmarc_889 :
🤣🤣🤣
2026-07-28 17:54:34
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About