Nataman kuacha ila bado akili yangu imeganda juu yake nifanyaje mie nataka kutoka ila nashindwa
2026-07-29 08:12:30
0
SHANANA TZ :
kumuacha kirahisi mtu anae kuumiza ni kuwaza mabaya yake tu na kujisahaulisha mazur yote mliopitia na kumsevu jina kumzalilisha kisha mute status zake na usipige wala kumtumia txt utalisahau hilo jangili😂
2026-07-29 08:06:09
0
Mziwanda🥰 :
hili group ni baya wallah😂
2026-07-29 07:58:41
0
minah :
nko huruuuuu
2026-07-29 07:55:17
0
waziriitambu :
tupo tupo saaana mweupe mwenzangu
2026-07-29 07:14:59
0
To see more videos from user @ligh670, please go to the Tikwm
homepage.