aliwahi niambia atanipenda milele, ila ajabu aliniacha huo huo uck, Cjawahi heal mpka cjui ntapona lin😭😭😭
2026-07-28 18:18:01
3
ms minah :
mi ndio sitaki kuyasikia, nmechoka tu ,moyo umevunjika tu..
2026-07-28 19:34:13
3
miss♎️-celine❤️🩹❣️ :
exactly 💯
2026-07-28 16:43:58
1
okela sàmwel rix :
tuko wengi jama mm naogopa sana sina hisia najichukia huwa naomba msamaha hata kamasijakosea naweza kuazisha mahusiano leo nikakaa wiki moja nikaamua kuondoka mwenye bila hata kukosewa
2026-07-28 18:41:22
0
M😊A😋A🦚🍍😘😍🥰 :
ndio mm kabisa🥹
2026-07-28 17:00:28
3
Brian Benard :
Aiseeh usemi wa mwisho ni mm kabisa huwa najihisi mm nimkosefu cku zote kwenye mahusiano.
2026-07-28 18:28:49
1
Bi Popo :
swadakta mm siamini tena
2026-07-28 16:47:42
2
Mama Valerie :
N kwel kabisaaaaa ila nko hapo mpaka muda huuuuu hata cjui navukaje😭😭😭😭
2026-07-28 18:15:12
1
Vaileth Peter :
hata mim nikiwemo imekua ngum kumuamin mtu kwKwel
2026-07-28 18:09:26
1
cteylah :
Duuh this is so me 😭🤦♀️namkumbuka mpka Leo Abdon msechu alinipenda sana yule kaka Jaman ila Sijui nikwanini tu hizi Tabia zinanitesaga na ile kutaka approve kila siku kuwa ananipenda thou najua kabisa ananipenda🤦♀️Yaan ntafany drama zisizo na msingi 🤦♀️
2026-07-28 18:09:15
1
teclastylishoutfit :
Tabia 1-4 zote ninazo nasilljui Cha kufanya aki
2026-07-28 19:56:03
0
gelege :
kabisa
2026-07-28 17:04:04
1
Aika Lyimo :
yaaan, huyo ni mm kabisaa,
ila sijui hata nitatokaje huko..
maana nimeshakuwa wabaridi kabisa ktk swala la mahusiano..
2026-07-28 17:30:12
2
Vellah_outift💃 :
Aiseee mimi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-28 20:26:33
0
Jojosweetcorner7 :
Kwani kaka nine kufanya nn mpaka uniseme hivi 😭😭
2026-07-28 20:27:26
0
Cappy♑🐐 :
Au ndo na Mimi Niko hivyo mbona sijielewi mmmh hapana yule itakuwa alinipiga tukio🤣🤣🤣
2026-07-28 18:40:42
0
shamsa :
nimekua ivyo
2026-07-28 20:20:36
0
🧿 SALMA🇧🇮🇸🇦 :
Yani najion ndani yavyote
2026-07-28 20:26:43
0
Riri :
binafsi naogopa pia
2026-07-28 19:05:44
0
user4278002800981 :
hakika
2026-07-28 20:14:25
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.