@ibraah_food_suplement: #ibraahfoodsupplement🌱 Ukiona damu wakati wa choo, maumivu au kuwashwa sehemu ya haja kubwa, usipuuze. Huenda zikawa ni dalili za bawasiri. Fanya uchunguzi mapema na upate matibabu sahihi. Afya yako ni muhimu. #Bawasiri #Afya #ElimuYaAfya#tanzania🇹🇿