@brian_silaatz: huu muda wameuchakachua nini? sio poa yani daah🤣🤣🤣🤣#briansilaa #comedia #fyp

Brian Silaa
Brian Silaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 17:15:00 GMT
37903
3916
270
156

Music

Download

Comments

elizabethlaurent96
Elizabeth Laurent :
mm nalichofany ch maan ni kushind TikTok
2026-07-29 06:33:07
0
luiza.joery.moses
LUIZA ✝️✝️✝️ :
yaani kila baada ya siku mbili ni ijumaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 05:06:39
82
user1675631801971
rose 🌹 :
Acha uende tufe shhida nazo nyingi
2026-07-29 08:09:16
8
soothed2
soothe :
kwakwer
2026-07-29 07:46:05
0
bwenzi257
Bwenzi Higgins 🧃🥤 :
fact mjomba💯💯
2026-07-28 17:20:49
0
evarbugota
evarbugota :
siamin Kam naend kuzeeka MMI na sijaolew
2026-07-29 06:04:42
42
user7736966827137m
@mkami~og. :
nomaa sana mwaka unaisha nabaki kapuku hohehaeeee😁😁😁😁😂😂😂😅
2026-07-29 07:09:27
4
edilove458
edilove :
2026-07-28 20:17:26
10
j.pfamily
MAMA_ROY🌹🕊️ :
jaman me sielewi nalala saanne nikishtuka kukojoa nakuta kumekucha 🥺
2026-07-29 07:25:02
5
tungomwana
tungomwana :
yani ilikua unalala mpaka una amka kupumzika kwanza ndipo ulale tena 😂😂😂😂😂😂 kama una ikupuka hii tujuane kwa like haap
2026-07-28 17:21:02
23
jaivahstar27
jaivah star :
Umri 🤣🤣
2026-07-29 07:59:57
1
levina.mac.james
Levina Mac James :
naahidwa kuelewa
2026-07-29 09:13:39
1
samir.tz34
samil tz 👊 :
umejuaje😂
2026-07-29 08:35:24
1
sophieyusuph836
Sophie :
siku za mwisho mkuu
2026-07-29 09:25:53
1
jazz_calton
jazz_calton :
kila baada ya masaa matatu mwisho wisho wa mwez.😂
2026-07-29 08:42:34
2
magrethpatrick731
MAGRETH P :
wewe mimi kipo😳
2026-07-29 09:03:07
1
rosea7339
Rose :
Hv unajua ni kwel? Hata mimi asubuh nilibmwamby dada angu hv mbn kuna kucha halak hvyo😂Akasem acha uvivu nenda kazin😂
2026-07-29 04:39:35
6
agnesssandy3
agnesssandy921 :
acha kabisaaa
2026-07-29 05:49:02
4
mr_l230
💎*MR*_CÖNCLÚSÏÖN💎 :
muda mchache mambo ni mengi lkin ayaonekani 🤣🤣🤣
2026-07-29 08:11:17
1
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
ukishafikisha miaka 30 ndo mambo yanabadilikia
2026-07-29 07:45:23
1
user5605492971427
big star boy :
jana ilikua juma pili leo ijumaa
2026-07-29 05:41:22
2
kingkiza1
KIZA 👑 MCHAGGA📸🥷☘️🚬 :
Kweli ase kak dah Sina ata baiskeli na ninamiaka 30 kk🤣😂
2026-07-28 21:08:39
4
razaaqndwata
razaaqndwata :
mambo ni mengi muda ndio mchache, wewe tulia ivyo ivyo utaelewa tuu😂😂😂
2026-07-28 17:46:13
4
auntie_mwana
aunt mwanah 🌺🦋🦋 :
Kuna siku zimerukwa me nakwambia
2026-07-29 05:50:38
2
To see more videos from user @brian_silaatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About