@kapo_farm: #kienyeji #localchicken #healthchickens #farminglifestyle #chickenfarming

Kapofarm/Ufugaji Kuku Kienyeji
Kapofarm/Ufugaji Kuku Kienyeji
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 17:19:47 GMT
30065
660
20
129

Music

Download

Comments

alimadraru1
AlimaDraru :
Merci beaucoup maman
2026-08-20 17:46:20
0
mayanziedward
Mayanzi :
kwasababu Gani?
2026-07-28 18:36:10
2
broiler_farm2
BROILER_FARMS🐓🇹🇿 :
Nataka kama trei nne za kienyeji kutotolesha
2026-08-19 15:21:24
1
trainer_jnr1
Trainer jr. :
Kwa nini
2026-07-29 01:06:54
1
mohamedathman10
mohamed. athman by 9 :
shukra
2026-07-30 01:53:41
0
kijana.wenu57
kijana wenu :
wengine hatuna tr3yi 😂😂tunaeka kwa kikkapu
2026-08-15 09:07:59
0
omary.hamza
Omary Hamza :
Kabisa
2026-07-28 21:26:03
0
toz4tif
Fadbad :
mbona kuku mwenyewe hayaweki hivyo hata ck 1
2026-08-05 18:01:26
0
icky_moh
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Hivi kama mayai ya kienyeji niliyaweka kwa fridge unaweza kutotolesha ?
2026-07-30 19:16:20
0
renzemrys
Renz :
na yanatakiwa kukaa siku ngapi baada ya kutagwa ndio liingiee kwenye mashine?
2026-07-29 11:13:32
1
walterwp1
✨𝔼𝕝𝕝𝕪_ ℙ ✨ :
Niuzie plz
2026-07-28 19:55:59
0
mlimasayunikigamboni
mlimasayuni :
yai langu au yai la Kuku?
2026-07-30 10:22:53
0
tiktok_on__x
Amazing :
baada ya hapo hauyageuzi?
2026-07-29 07:23:51
1
mr.technician81
Mr.technician :
sababu
2026-07-29 00:20:21
0
nufais999
Al-nufais :
unajuwaje hili yai linafaa kutotolesha au halifai?
2026-07-29 01:52:25
1
zabron1336
Zabron :
mayai ya kuku wako, au yai la kuku wako,Sio ,Yao lako wakenya hawakuelewi ,mimi nimekuelewa🙏
2026-07-30 14:36:35
0
chacocha01
ChaCoCha :
Naweza kupata tetea wadogo pure kienyeji kwa ajili ya kuanza kufuga yan ambao hawajaanza kutaga
2026-08-04 17:09:18
0
To see more videos from user @kapo_farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About