@clickmaster_1: Leo nimepika nikiwa nyumbani naamini chakula kitakua kitam sana na mtakipenda, sasa ni hivi Endapo zikifika coment 1000 Naachia huu wimbo 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #clickmaster #foryou #fyp

Click Master
Click Master
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 17:20:17 GMT
314267
39254
724
148

Music

Download

Comments

user3631530160925
375999 :
Kwani si ubadilishe camera jamani inanipa kizungu zungu khaaa
2026-07-28 17:40:05
338
itssilverboytz
Itssilverboy :
Mama kaniliza sana 😭 kaongea jambo serious sana na kila mwenye kuuelewa mziki kwenye hilo beat lazima angefanya inspiration song 🙏 tuendelee kupambana kila kitu kina sababu kwenye maisha ya mwanadamu
2026-07-28 17:53:07
140
abby20938
Abby🇹🇿✨ :
alafu unajua mama alivyopeta Mchele kama umeingia kwenye beat Yan Kuna ladha hapo flan hvi ya beat ambayo mixing ni Mchele sikiliza kwa umakin utagundua kitu🙏
2026-07-28 19:15:43
75
geepeace871
geepeace :
guys commentin bc
2026-08-01 17:56:04
0
daddyking726
Daddyking$$ :
Long Live Mama
2026-08-01 11:17:31
0
minah7040
minah😘🥰 :
mama mungu ampe umri mrefu
2026-07-28 18:01:10
243
kismart180
kismart 09 :
Umetisha bro
2026-07-31 13:35:21
0
lilianijm
@Liliani★ :
click master msalimie kids a,k.a furaha na mwona apo
2026-07-28 19:48:20
0
mercymodestus
Joshua, Joshua :
GOd bless 🙏🙏🙏 you
2026-07-31 08:21:01
0
joe_moodie
𝕁𝕠𝕖_𝕄𝕠𝕠𝕕𝕚𝕖 ✪♫ :
Nice bro
2026-07-31 05:04:41
0
mc.lastborn01
MC.LAST BORN :
keep it up bro
2026-08-01 11:46:33
0
dizzypencil_
Dizzy 🥴 :
click master 🔥
2026-07-28 18:01:34
2
aslam__tz
Aslam Tz :
Mungu ametutoa mbalisana 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙏🏽
2026-07-29 07:07:50
34
cuply17
cuply :
mama kaongeah fact 🫡
2026-07-28 18:54:14
9
papceenyo
𝗣𝗮𝗽𝗰𝗲𝗲 :
Fata ya mama kaka yangu hii nyimbo lazima iondoke Trust the process🥰🔥🔥
2026-07-28 17:32:22
61
user519807953280
Melissa💋 :
kizunguzungu jamaniiii 🤣
2026-07-30 09:05:32
6
ms_tully7
Tuli Mwamba :
Nilichokupendaaa Mdogo wangu umesimama kwenye uharisiaaa wa maisha ya nyumbaniii ujafichaaa mungu akusimamieee
2026-07-29 05:56:28
13
youngzepher
WISEMAN🙇‍♂️ :
KAKA IDEA YA MAMA IKO POA SANA PITA NAYO 🔥🔥🔥🔥🚨
2026-07-29 02:53:25
9
thisgarlneylee
thisgarlneylee 💨🥰 :
mama♥️♥️mungu amlinde azidi pata kitu anachotamani toka kwako🙏
2026-07-28 17:27:33
22
hkaybouy
Hkay bouy 265 :
Code ni moja ukitaka kufanikiwa kwenye maisha. Weka mahusiona mazuli Kati yako na mama ako
2026-07-29 01:46:53
8
stelishear.s
Stellah Joseph :
Tuliko Toka ni mbali 🥹naamini iyo nyimbo itakuwa🔥🔥🔥🔥
2026-07-28 22:45:27
5
da.jackilini
da jackilini 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
kwenu wap!
2026-07-28 17:26:37
5
chogo.kiddy.45
kim Tentacion 👑 :
leo me wakwanza
2026-07-28 17:26:52
39
mrtabasamu44
Mr Tabasamu 🥰🤓🥰🤩😘 :
Maisha ya staili hii an hadi raha furaha kama yote
2026-07-28 17:53:29
5
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About