@power_media08: KUSHINDWA KUIMALIZA VITA DHIDI YA IRAN NDIO MWANZO WA ANGUKO LA RAIS TRUMP NA MAREKANI? Tulia umsikilize Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia ya Dunia ya Vita @dallarzpage akitoa elimu.
kama ni anguko lao je irani wametangaza ushindi? je marekani ametangaza kusalenda? unaijua marekani wewe? mpaka useme marekani itaanguka? bro hii vita ndo kwanza inaanzaaaaaaa
2026-07-29 06:05:30
0
Charice21*💖 :
anampa silaha israel au nimesikia vby
2026-07-29 06:06:31
0
najma :
Marekani anagawa silaha kiasi hicho hizo feza zote za utengenezaji silaha anatowa wapi?
2026-07-29 09:23:19
0
♥️sahlad♥️ :
saaafi
2026-07-29 06:25:29
0
momobabe😍😘 :
Ongelea vy nch yak
2026-07-29 07:15:51
0
mfinanga1990 :
2026-07-29 06:07:55
0
Mzee wa kisiriri :
Wastage USA million dollars.
2026-07-29 06:36:56
0
Major Kiddie :
Ila hawapi silaha bure!!
2026-07-29 01:50:56
0
SUMA TOUR :
👍👍👍👍👍👍👍
2026-07-29 07:54:49
0
To see more videos from user @power_media08, please go to the Tikwm
homepage.