Ni ukweli, mbinguni tutaenda kwa Neema (kudrah) za Mungu tu. Lakini kwa ubinadamu wetu huu huu kutoboa mbinguni ni ngumu sana, almost impossible. Mungu mwenyew aamue tu kusamehe
2026-09-20 04:47:47
7
kiamke tz :
zambi n siasa tu za kuwavuluga watu wasifanye baazi ya vitu
2026-09-20 06:36:55
4
Joel Buya :
hatutaenda na miwili huu, tutapewa miwili mpya, tusome biblia
2026-09-21 21:32:08
1
Waona 💚 :
Mbinguni watakua wachache
2026-09-21 18:46:09
0
Jovina George :
hakuna mwanadamu ambaye hana dhambi ila tuombeni sana maana tuna nafasi ya kutubu🥰