@zubora_review: #ピンチハンガー #折りたたみハンガー #ステンレスハンガー #洗濯ハンガー

ズボラ主婦の正直レビュー
ズボラ主婦の正直レビュー
Open In TikTok:
Region: JP
Tuesday 28 July 2026 22:00:00 GMT
96528
159
3
9

Music

Download

Comments

dogpoo70
summer7 :
これ,マジいい👍👍👍
2026-07-30 03:07:30
1
2951anna1209
NOBU🍤 :
😳😳😳
2026-08-28 01:25:03
1
To see more videos from user @zubora_review, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

❤️ MBINU 5 ZA KUMVUTIA MWANAMKE HATA KABLA HUJAMWAMBIA UNAMPENDA Kuna wakati unamwona mwanamke unayempenda, lakini hujui uanze vipi kumkaribia. Unamtazama, anakutazama… lakini hakuna anayesema kitu. 😅 Sasa hizi ni mbinu 5 ambazo zinaweza kukusaidia kuvutia attention yake na kujenga connection bila kulazimisha. 1. JITUNZE NA UWE NAYE MWONEKANO SAFI Huhitaji kuwa na pesa nyingi ili uonekane vizuri. Vaa nguo safi, nywele ziwe nadhifu, uwe na harufu nzuri na ujitunze. Mara nyingi mwanamke anaweza kuku-notice kabla hata hujaanza kuongea. 2. MTAZAME MACHONI NA TABASAMU Usimkodolee macho. Mwangalie kwa kawaida, ukipata eye contact, tabasamu kidogo kisha endelea na shughuli zako. Hiyo inaweza kuonyesha confidence bila kusema neno lolote. 3. ANZA MAZUNGUMZO KWA URAHISI Usifikirie lazima uwe na maneno ya ajabu. Anza na kitu cha kawaida kulingana na mazingira. Mfano: “Habari, nimekuona mara kadhaa hapa, nikasema ngoja leo nikusalimie.” Simple. Natural. Confident. 4. MSIKILIZE BADALA YA KUJIONGEA WEWE PEKE YAKO Ukianza kuongea naye, usijaribu kum-impress kila sekunde. Muulize maswali na umsikilize. Mwanamke akihisi kwamba unasikiliza na kuelewa anachosema, mazungumzo yanaweza kuwa na connection zaidi. 5. USIMLazimishe — MPE NAFASI AKUCHAGUE Hii ndiyo muhimu zaidi. Unaweza kuonyesha kwamba unamvutia, lakini usimlazimishe akupende. Kama anaonyesha interest, endelea kujenga mawasiliano. Kama haonyeshi interest, heshimu hilo na songa mbele. Kwa sababu: “Real attraction is not about forcing someone to like you. It is about creating a connection where both people choose each other.” Kama umezipenda hizi mbinu, Like, Subscribe na Follow Sauti ya Moyo ❤️ kwa masimulizi na ushauri zaidi kuhusu mapenzi. Na comment chini: “MBINU NAMBA 5 ❤️” kama unaamini mapenzi mazuri yanahitaji watu wawili kuchaguana. #Mapenzi

About