@licado.page: Mkoa wa Tanga umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa inayoongoza nchini kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa homa ya ini (Hepatitis). Akizungumza leo Julai 28 katika Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani, Dkt. Penina Sikira kutoka Hospitali ya Siha Polyclinic amewataka wananchi kujitokeza kupima afya zao mapema, kupata chanjo pale inapohitajika na kuzingatia njia za kujikinga ili kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo. Afya ni mtaji. Pima mapema, linda maisha yako na ya familia yako. #licadoupdats #tangatanzania

Licado Page
Licado Page
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 18:44:57 GMT
21193
428
23
168

Music

Download

Comments

vickyrugudagiza
Momy princess :
The best dr ever
2026-07-30 19:28:21
0
shehannahjumaah
sheimaaah jumaa :
mungu wangu uko tanga kwetu
2026-07-29 11:53:37
4
sanjujalina
jalina 151 :
hixo chanjo zinapatikana wapi jaman niende
2026-07-29 14:02:36
1
twaha329
Twaha :
Mungu tulinde na hayo magonjwa
2026-07-29 06:55:20
2
aminaty048
aminaty :
mpaka tunaogopa sas
2026-07-29 08:58:37
2
nassorally42
nassor :
ugoro na milungi ni shida
2026-07-31 10:24:47
0
user2368380061303
user2368380061303 :
2026-07-29 08:23:35
0
yumaa.swafia
yumaa swafia :
mh
2026-07-29 06:50:37
0
mudrck00
mudrck :
mh
2026-07-29 04:45:06
1
haneykapole
Zamla Kapole🍏⚘️🍏 :
Duuuuh mung atulind jmn🙏
2026-07-30 17:31:44
0
aminambaraka0
Amina Mbaraka871 :
muko wapi
2026-07-29 13:05:32
0
zohaibbaloch918
chombo Cha dereva :
duuu htr iyo
2026-07-29 06:01:02
0
bint.april11
bint manjonjo :
mnaendelea hadi lin
2026-07-29 19:45:35
0
lady.angie01
Lady Angel :
waooh Dr penina
2026-07-29 15:24:37
0
berry.collection95
Berry Collection Nuria🧕🛍️ :
Me pia nimepata chanjo🥰
2026-07-29 13:02:45
0
fatumasaidy103
Fatuma Saidy :
jmn mbona naogopa ss
2026-07-29 17:31:44
0
nurya2023
Nurya2023 :
Anasomaaa wapi 🤔
2026-07-30 18:13:59
0
azda239
azda 💕🇹🇿 :
😭
2026-07-29 10:44:35
1
tumaah17
Tumah🦋💗 :
🥹🥹🥹
2026-07-29 08:39:15
0
To see more videos from user @licado.page, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About