@lizzytz2557: Story yote nimeshakuwekea pale yutubuuu #viral #trending #storytime #lizzytz2557 #fyp

lizzytz2557
lizzytz2557
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 18:45:00 GMT
164785
6631
177
289

Music

Download

Comments

ryker195
Řàïķä🦋 :
Hii story YouTube inaitwaje mama sokaiya
2026-07-30 03:34:05
1
elias_internatl_hair
Elias_international hair :
Asante
2026-07-29 08:20:54
1
carinekano.salon.d
carinekano salon de beaute :
next plz
2026-07-29 03:48:25
1
black.t_officially
black.t_officially :
part 2 plzz...
2026-07-29 07:44:28
1
mbogosh_access
MBOGOSH_ACCESS✅ :
true story
2026-07-29 06:16:46
1
justine.mpangala
justine mpangala :
part2 hakuna
2026-07-29 09:23:48
1
grace.massawe93
Grace Massawe :
na wewe stori zako hazifikagi mwisho
2026-07-29 03:54:27
31
gwhitemville
G white :
wa mama wa wanaochonganisha watoto na babazao wapo weng sn ty
2026-07-28 19:01:47
50
erickphi4
Erick philipo :
uongo mwanzo mwisho mara wazazi wamefariki tena leo unatuambia wapo pamoja
2026-07-29 04:06:52
7
user5272915035162
munira :
ndo maana ili kuepusha chuki kati ya watoto na baba yao ni bora mwanaume alete kila kitu mwenyewe ikibidi hata mboga
2026-07-29 09:15:31
9
user84517542712091
issa msalam :
hii story ni nzuri na hayo yapo,ila muhadisihaji ukuwa na mpangilio wa maneno,ndio hivyo wanaume tunapitia vipindi vigumu sana,
2026-07-29 09:48:02
5
richgany
arsen_jr :
mbona hii story Haina mwendelezo
2026-07-29 15:31:49
8
j.pfamily
MAMA_ROY🌹🕊️ :
kuna kosa nitafanya lakini hili lakutenganisha mtoto na baba yake sintafanya kamwe
2026-07-29 07:55:36
21
keyasprian
keya sprian :
somo zuri hili lipo katika familia nyingi sana
2026-07-29 08:06:25
10
kalenga.jean1
KALZ JEAN :
punguza speed
2026-07-30 05:18:29
0
tourist5966
tourist :
kabla sijakusikiliza vizr ngo ni like
2026-07-29 10:45:46
3
chacha.marwa12
Chacha Marwa12 :
Mm nivyo ingia kwenye maisha ya ndoa ndio nimeona umuhimu wa baba na majukumu yake napia baba alikuwa mvumilivu sana
2026-07-29 07:46:04
8
hashilhashil82
hashilhashil82 :
mbon story haijaisha tam sana
2026-07-29 08:41:51
2
donpaluku4
Don Paluku :
wa maman wa baya 😳😳
2026-07-29 11:12:13
1
boscojaphet
Japhet :
Endeleza
2026-07-29 10:02:23
1
user5624244240164
user5624244240164 :
Asante kwa kijielewa mko wachache ssna hapa Duniani
2026-07-29 09:50:03
1
iswalalamapesa
Iswalal Mapesa🇹🇿 :
Kila kitu ni funzo pia
2026-07-29 10:16:13
2
user9713783853275
robot k mchomvu :
pole kwakuchelewa ila hongera kwakujua
2026-07-29 10:09:26
1
zuberilweno
Mzee Zuberi :
ni stori nzuri, unawez kuishi n Mwanmke hata miaka 10 kumbe hana furaha n hatupendi hata 1%
2026-07-29 19:14:24
1
paul_health_hub.com
Paul :
mbona hujibu DM zangu lakin😭
2026-07-29 08:30:13
1
To see more videos from user @lizzytz2557, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About