@liliannaman: SILVABEL MSUYA Ataagwa Jtano 29 .July 2026 kuanzia saa mbili asubuhi Usharika wa Boko KKKT. na mazishi yatafanyika Alhamisi KKKT Dayosisi ya Mwanga. bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. tumsindikize ndugu yetu.#gospel #tiktoktz🇹🇿#tiktokviral #tiktoktz🇹🇿
Kiukweli Mchungaji Eliona Kimaro umepatwa na msiba mzito Yesu akusaidie, amsaidie mama yake mchungaji msuya, mke wake na pia mke na watoto.
2026-07-29 11:45:49
1
lovely 🥰 :
n kwel haupo na ss Tena Ila maneno yako yatazidii kuwepo😢 pumzika kwa amanii 👏💔
2026-07-29 13:03:17
1
jaylee :
duh inauma sanaa jmn
2026-07-29 10:49:49
1
zakayondambo2 :
r,I,p
2026-07-29 17:32:49
0
miracle :
dah Rest In Peace 🙏
2026-07-29 12:54:55
0
user3074104420787 :
dah.inauma sana.
2026-07-29 14:29:46
0
naomimboya2 :
jaman huu ni mwaka gani
2026-07-29 13:57:30
0
lexgottalent :
Zaburi 116:15
2026-07-29 08:10:39
0
Etropia Langai :
pole sana baba mchunguji
2026-07-29 02:07:23
0
santykimaro :
Mungu akubariki sana Mchungaji Eliona Kimaro kwa kazi kubwa uliyoifanya. Mungu azidi kukutumia ili uwe baraka kwa vijana wengi nyakati hizi mbaya na za hatari. Kazi yako si bure mtumishi wa Bwana. God bless you more abundantly. Kwa kadiri unavyozidi kujishusha, ndivyo Mungu atakavyozidi kukutumia. Glory to God the Almighty. Hallelujah.
2026-07-29 14:17:24
1
neyja :
first time ulikuja ibadan usharika wa madale betheli tulitamani ibada isiishe uendelee kuhubir na kuimba Mungu akupe pumzikk jema