@malyaip: "Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinachobainisha kila kitu, na ni uongofu, rehema na bishara kwa Waislamu." (Surat An-Nahl 16:89)#islmaic_videos #quran #quran_alkarim #quranrecitation #islam

Malyaip🦋Salma🤍🧕🎀🖤
Malyaip🦋Salma🤍🧕🎀🖤
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 19:21:04 GMT
46627
3209
61
540

Music

Download

Comments

fettie_fannie
Leiara🦋✨🌹 :
Wanajua Aya ya kuoa tuu
2026-07-29 11:22:28
8
_marineengineer_
Eng. Abdulsalmin :
Azia mwanzo, umeanzia kati
2026-07-29 08:02:37
5
madamme53
Madam ❤️ :
Mbn umeifungia 😁
2026-07-29 07:49:04
1
25honeybee
HoneyBee🐝🦋✨ :
Tuwatumie inbox waskie vzr sindy😅
2026-08-04 17:11:18
0
himselfhimself165
himself :
mm wang namlipa ila siy saana
2026-08-06 03:41:26
1
aman.mohammedy.mc
@Man Dizzo :
tunaijua Ukhty
2026-07-29 19:26:34
1
twalibmohamed20
@OfficialTwalib :
Hii ni kwaajili ya wanawake waliopewa talaka wakat wakiwa na mimba au mtoto wakunyonyesha
2026-08-06 07:40:11
0
jina.hussein
jina Hussein :
we unaijua
2026-08-04 07:49:52
0
naflamohd
nafsai :
mbona swezi kuibq
2026-08-05 20:30:01
0
pretty.suuu
Sumaiya🌺✨🥀 :
Mashaallah
2026-08-11 13:48:01
0
bin.issa.ktchen.d
bin issa ktchen dish :
سبحان الله wengi wetu hawaijui🥺
2026-08-09 12:30:49
0
shaiamo19
shaiamo19 :
Wana jua ya 1,2,3,4 😅
2026-08-05 13:20:18
0
subequa_davinci
subequa :
Aya hazipatikani maana yake lengwa bila kujua sababu nuzuul (Muktadha).... Kwaiyo ili kutambua maana halisi kwanza ni lazima kuanza khabari ilipoanza na kufahamu sababu nuzuul (muktadha)
2026-08-09 18:44:57
0
nasahazadini5
UISLAM NI NASAHA :
basi oeni wanawake wanaowapendeza: wawili, watatu, au wanne. Lakini mkihofia kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi oeni mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kuume inawamiliki. Hivyo ni karibu zaidi na kutokufanya dhuluma." — Qur'an 4:3 naww hii waijua?
2026-08-07 12:28:18
0
omarymustafa137
omarymustafa137 :
tunaijua naya kuongeza mke nanyi mnaijua
2026-08-06 11:48:47
0
jemmyskitchen01
Jemmy’s Kitchen❤️ :
Wao ni mathna wathulatha tu izo nyengine Hapana 😂
2026-08-15 13:54:42
0
dark_king_a
Dark king👑 :
hahaha huyo ni mwanake alie taliqi😂wa
2026-08-06 05:13:05
0
annus.blast
Annu blast :
Aya wanazopenda wanawake 😂😂
2026-07-29 11:29:47
1
custard022
custard022 :
wanajua tu mathna wa thulatha warbaaa
2026-08-11 06:07:39
0
khadijakhatib14
khadija dii :
wanaijua fankihuu maswaaba lakum minna nissai mathnaa wathulathaa war baaaaqqqq
2026-08-11 14:42:14
0
shamsa2776
شمسة ❤️ :
si wanajidai kuona ya kuongeza wake tu😂
2026-08-05 14:31:50
1
samishshaaa
Ummu Nuzeyr 💕 :
Kumpata mume ambae ni jina la kiisilamu lkn Hana hata Moja linalohusika na uisilamu utapata tabu sana
2026-08-30 19:44:41
0
jaxhelectronic.gmail.com
Jaxh Electronic 🔨🪛 :
😂😂😂
2026-07-28 19:23:38
1
ahmadakida787
Ahmad Akida :
😂😂😂😂
2026-07-29 06:59:52
1
To see more videos from user @malyaip, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About