@brownchapakazi: 🚨Ni ngumu sana KUMSHAURI ANAYEENDA KUTAPELIWA..!😂😂😂

brownchapakazi
brownchapakazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 July 2026 19:31:11 GMT
129076
8372
309
111

Music

Download

Comments

paulkavia
Paul Kavia :
hehehehehe nacheka kama mazuliii ila daaaah
2026-08-09 10:37:14
0
ludgersanga585
SILVERIUS :
a few moment later
2026-08-09 20:11:04
0
moses.mapunda2
THERE IS NO DESPAIR 🫶🏽😊 :
uyu jamaa anachekesha kama aisemi timu yakoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-28 19:38:39
82
addy.victor8
addy victor 🦋 :
Mpaka hapa simba sis ubingwa Hatuna yan yanga wanatuchora tu🙆🙆🙆🙆🙆
2026-07-28 20:01:09
35
user4377819657342
user0689812639 :
simba nguvu m1 kakawatahacha ndala
2026-08-10 05:52:28
4
abdurially
Abduri Ally :
hii nch aina wachambuzi
2026-08-09 22:04:53
2
dully.nice
DULLYNICE🪢 :
ambao tulijua chincha boy limotamo musici tujuane😂😂😂
2026-08-10 08:26:36
2
msudan93
D - Msudany 🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
simba hatuja punguza mchezaji hata mmoja wa msimu ulio pita, kikosi kilicho ipelekea moto yanga ndio hicho hicho kitauwasha moto
2026-07-29 13:36:26
13
luchagula03
Joseph :
simba inachekesha kama sio timu yako 😂
2026-07-29 04:31:01
17
user1177602854622
Love you mom :
kwani huyu jamaa yuko timu gani jmn🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 20:41:25
1
fosta.joely
fosta joely :
kaka unanifulahisha muno nakukubali sana
2026-08-09 16:46:31
1
loveness.agustin
Loveness Agustin :
bosi kasema pesa zipo benk
2026-08-09 09:18:12
1
kugalion
kugalion :
mama hii nini
2026-07-29 15:39:09
2
emmanuelsoka377gmail.com
emmanuelsoka726 :
ila we jamaa una vibe sana magonjwa ya presha utayasikia tu
2026-08-09 05:55:46
0
allanvolker
allan volker :
weeeeh yeeeeeh be tusicheze kumbe bado wiki mbili, au tar 12 mwez wa 9🤔
2026-07-28 20:17:26
7
kijukuujr
kijukuu24 :
Huyo ni ukweli ila kunawatu watakutukana
2026-07-28 20:09:59
10
yusuph.baha
Yusuph Baha :
ile simba inayocheza kule kagame cup au ni simba b jmn😂😂😂
2026-07-29 04:52:42
8
001_liquor_store
001 Liquor Store :
Ukicheka tu na mm nacheka
2026-07-29 16:25:42
3
ramadhanijongo
jongo 001 :
mimi kama shabiki wa simba tareh 12 tuna shinda goli 2,, na lazima tushinde🤣🤣
2026-07-29 09:23:32
2
furediii
fredboytz :
daaah nimecheka san
2026-07-28 21:17:21
3
kaznana0
kaznana :
Unataka kuniambia zile 5G zitarudi kama kimbunga 🤣🤣🤣
2026-07-29 07:28:29
1
0684252380s
ngosh@ 📞☎ :
nilikuwa na kuona unajichekesha chekesha ovyo Ila kwa hili kazi ipo
2026-07-29 08:36:54
4
mukmars445
Mukmars :
ety hawaamin😆😆
2026-07-29 03:18:59
2
josephmitango
Jozee47 🏇 :
#Mo atuachie timu yetu
2026-07-29 09:56:04
1
To see more videos from user @brownchapakazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About