@_viwanja_kigamboni: ✅KAMA UMEIPENDA RAMANI HII USISITE KUNICHEKI ✅KAMA UNAHITAJI KUCHOREWA RAMANI YA NYUMBA PIA USISITE KUNICHEKI ✅KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA PIA USISITE KUNICHEKI ☎️0766021998 #creatorsearchinsights #trendingvideo
garden mkuu garden nyumba n kali ila pavement kila sehem dah
2026-07-29 18:50:48
3
Justin LAND EXPERT :
KWA TSH 150,000/= TUU UTAIPATA RAMANI YA HII NYUMBA
2026-07-29 18:17:02
4
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
cha kwangu cha 654 cha 1200 vitakuwaje... kikiwa kikubwa sana nacho ni shughuli.
2026-07-29 18:10:16
1
Thedricq bin William :
nyumba kali sana🔥🔥🔥
2026-07-30 04:55:16
1
Amiri Mohamedi Amiri :
duuu unyama sana
2026-07-29 17:20:00
2
Vin :
boss iko poa sana
2026-07-29 15:22:45
1
babaivana3 :
nimesevu video yao nitaitaji ramani
2026-07-30 02:41:08
1
Dalali Almajid Kigamboni :
nice sana
2026-07-30 10:42:32
0
ibrahimyarseen :
naitaka
2026-07-29 15:30:25
1
ochu_urimbo :
mwamba kaamua nyumba bado
2026-07-30 13:44:47
0
Antary Suleimam :
ramani hyo boss inapatikana
2026-07-29 15:35:15
1
PABLO MASANJA :
bado ajaitendea haki hiyo nyumba ingependeza kama ingejengwa kwenye kiwanja 1200SQ mita ilitakiwa iwe na sehemu ya garden miti ya vivuli na swimming pool pamoja na mabanda ya kufuga kuku kwajili ya mboga na mayai
2026-07-30 17:19:53
0
ramadhani maramsha :
nyumba imetulia sana
2026-07-29 19:02:13
1
Justin LAND EXPERT :
0766021998 WHATSAPP NA SIMU YA KAWAIDA
2026-07-29 18:13:17
1
To see more videos from user @_viwanja_kigamboni, please go to the Tikwm
homepage.