@irenebensoni2:

Irene Bensoni 🙏
Irene Bensoni 🙏
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 01:45:20 GMT
26498
1920
45
69

Music

Download

Comments

hadijamrutu241
💜💜 :
Tutafute pesa jmn wanaume ni wabinafsi sana jmn
2026-07-29 06:08:40
53
123ayshertz
Nanzia@# :
Jmn mbna mm sion account y fifi saivi
2026-08-07 05:15:07
1
dafrosa33
Be smart always :
Tuwaheshimu sna
2026-07-31 13:00:20
1
user1990941022691
KARIIMA ABDALLAH :
love Irene Benson kwa ujumbe wa Fionankya
2026-07-29 15:24:41
5
reinadaniel31
Rechol vikoi❤️ :
Unaongea ukweli kabisaa
2026-07-29 13:13:56
8
nol1038
Noël :
dada wewe unaongozwa na Mungu
2026-07-29 02:08:22
9
salomesambay
Salome Sambay :
sio tu wanapenda kwasababu ndugu yao yupo hai hata mkitenganata wao pia Wanawatenga watoto
2026-07-29 06:35:00
7
love..family6
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
jamani ni kujiombea tu ......ila zile kelele ni hisia wivu kelele zikiisha ndo mke anaamka upya sasa anakuwa haongei tena halii tena hatumi tena meseji ila mwanzo wa mapenzi hakuna anaetarajia naingia huko naenda kuchitiwa hio ndio huleta kelele hata waalimu wa sasa walipiga mwanzo now wametulia acheni watu walie wapige kelele watakuwa sawa wengine kila mtu na anavyotoa sumu moyoni .....
2026-09-13 19:33:26
1
aj_tablet_store
Sally :
Mimi kunakoelekea mambo na wanaume nitasahau
2026-07-29 10:46:53
2
mwanamalundi3
mwanamalundi :
sijui tutakutana wapi nikununulie wine,nipo dar.ana kwa ana itapendeza
2026-08-02 16:59:55
2
irene.didas3
Irene Didas :
nikweli kabisaa dadaa uuuh
2026-07-29 08:10:32
3
hellenkifanyi
hellenkifanyi :
Asante 🙏 🙏
2026-07-29 06:01:37
1
user5718162299233
oppa :
sahihi kabisaa
2026-07-29 05:58:43
2
user355246769025065
ndejembi :
kweli
2026-07-30 01:46:08
2
vailetty4
Vailetty 💞💞 :
Ukosahihi mim ckuiz siandiki sms kama gazet nishajifuza dada mungu akutunze unatufunza kwakwer
2026-07-29 04:28:40
5
stella.joseph62
Dada- dalalii🥰🥰 :
nakuelewa san dad yng
2026-07-29 10:54:42
3
eunicejohn079
mama G💕💯💯💯💯💯02 :
nakuelewa sana dada 🤣🤣
2026-07-29 06:21:53
1
qtmydjg
qtmyd :
2026-08-13 11:12:58
0
biasharazetu3
MAMA BOY'S :
nikweli kabisa kunamuda atasisi wanawake tunazingua sana
2026-07-29 09:09:10
4
madam.rose76
Madam Rose 🐔 🐔 🐔 :
Asante sanaaa Dada ukweli mtamu😋😋😋😋😋😋😋😋
2026-08-04 13:37:19
0
user4493045258149
Naimamohamedabdallah16 :
nkweli kbsa dada unaongea point alafu ukiwa bize hata muda wa kugombana hauupati
2026-09-22 10:19:10
0
timegadaf01
timegadaf01 :
Mie ndio mambo ya makelele siyawezi na nikimuona mtu anapigizana kelele na mwenzie wala simuelewagi
2026-08-20 18:53:06
0
kitolydia
Jonas kavusa :
Vipi
2026-08-17 11:54:58
1
user4446019184365
Adellajohn :
nishaacha hizo mambo.yanini kujitafutia presha.
2026-08-25 21:42:05
0
kauthar925
kauthar :
😳😳😳😳kwa kweli darling
2026-07-29 03:55:11
3
To see more videos from user @irenebensoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About