kun wengne unakosa upendo wa baba n hat kumpata wakukupenda hupat
2026-07-29 15:00:15
75
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Nilikuwa nawatetea hawa viumbe until one day my own blood father told me hatamani hata niolewe and the reason is ananionea huruma na hataki niteseke yoooh…since that day nimeacha kutilia maanani wanaume🙌🏻
2026-07-30 19:28:39
18
Mwasty 💞🎀 :
sio wote bhn,
2026-07-29 11:50:46
14
laisah86 :
nipeni kiti nikae ili iwasimulie kilicho nikuta😢😢😢
2026-07-29 17:55:00
18
Rebby🤎🤍 :
Kun mtu kasema sio wote😹sawaa sawaaa
2026-07-30 06:12:22
12
fantana❤️ :
naskia kuandamana 😢
2026-08-01 09:16:20
4
Takhreen douta💋🦋🦋 :
Mume wng sio mchoyo sio mbinafs maisha marefu kwake 🥰
2026-07-31 08:03:02
10
lady_pinkysavage :
Fear men/fear women are just online narratives 🤣 huku kw ground michango ya harusi inataka kutuua . Watu wanaoana bhn 🤣
2026-07-29 12:16:30
10
Miss mary :
ww eb pita hvi unamfaham wang ww😂😂
2026-07-30 17:23:41
2
official@rose🎀🍃 :
Hapn so wanguuu jmn😂😂🙌
2026-07-29 14:25:21
0
Baby Girl💞 :
Jina la wimbo
2026-07-29 12:40:47
0
Oliver kweka munishi :
kuna mmoja nimemuacha leo
2026-07-29 13:41:33
0
Angel :
yaani sijui yakojee
2026-07-29 06:32:29
1
mom5 :
hamniambii kitu jamani, 11years with five chidren nabado furaha yafamilia ndio.furaha ya mume wangu. nitampenda mpaka pumzi ya mwisho. nichambeni tu..
2026-08-06 10:42:54
1
Enny's Choice :
Ni kweli kabisaa. Ubarikiwe
2026-07-29 09:18:52
16
natai_makeup :
Kuna wengine hata mabinti zao hawatuwazii mema🥺
2026-07-29 11:19:36
7
itz assuh :
apostle naushuhuda na Ii ngj nmalize kulia🥺😅
2026-07-30 05:19:45
1
Rachel Mushy❣ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukwel unaumaaa
2026-07-29 11:19:22
2
Angela Mushi :
🤣🤣🤣natamani niseme ilaaa🤣🤣
2026-07-29 11:08:37
2
DayanD :
Nikwel kabisa
2026-07-29 05:34:32
0
mattie🦁🥰 :
kabisa
2026-07-29 06:00:58
2
🎀MSICHANA🎀 :
Nimetoka kuangalia movie inaitwa “Elize:shadow of woman” 😩 alafu nakutana na hii post ndo nazidi kuogopa🙂↔️🙌
2026-07-29 17:24:11
2
alcy♥️🦋 :
ni kweli kabisa
2026-08-09 14:51:07
0
To see more videos from user @simple_me_melinda, please go to the Tikwm
homepage.