Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@1alnarr: #viral #fyp #foryou
RE.
Open In TikTok:
Region: SA
Wednesday 29 July 2026 03:24:27 GMT
204
12
1
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
𝑩𝑨 :
🤩🤩🤩
2026-07-29 23:58:20
0
To see more videos from user @1alnarr, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Con gián dễ thưn
#parizaad
aah😂
JE NI KWELI DULLY SYKES NDIE MUASISI WA MUZIKI WA KUIMBA TANZANIA!? @princedullysykes anasema yeye ndio muanzilishi wa muziki wa Bongoflava. Je unakubaliana nae!? BONGO FLAVA ni jina ambalo linatumika kutambulisha muziki wenye asili ya mahadhi ya Tanzania (Bongo). Kumewahi kuwepo na utata kuhusu ni nani muasisi wa neno "Bongo Flava" mwanzoni walisema ni mwanamuziki wa Reggae, #JahKimbute alisema ndiye aliyeasisi neno hili pale alipoamua kuchanganya muziki wa asili na reggae na kuziita Bongo Flava. Pia kumewahi kuwa na vyanzo vingine kama Mtayarishaji wa muziki P.Funk @majani187 na #DJBonnieLove wamewahi kuhusishwa na uasisi wa neno Bongo Flava ni ambaye aliliasisi neno hilo mwaka 1998, Madai haya kuhusu waasisi wa neno Bongo Flava linaonekana kupingwa vikali na Mtangazaji wa siku nyingi, Michael @mike_mhagama Mhagama ambaye anadai kuwa yeye ndiye mwasisi wa neno hilo na aliliasisi katika kipindi chake cha DJ Show kilichokuwa kinarushwa na @radioonetz miaka ya 1990 hususani mwaka 1996. Katika makala yake, Mhagama anasema, “Ilipofika dakika 30 za muziki wa R&B, siku hiyo nilikuwa kwenye usukani na kwa mbwembwe nilicheza nyimbo ya kundi la R&B lililoitwa 4Krewz Flava na baadaye kuiunganisha na nyimbo nyingine ya Unique @uniquesisters_official. Kwa vile midundo,mpangilio,lugha na utaalamu wa muziki wenyewe kamwe huwezi kuufananisha na ule wa Soul 4 Real au SWV kutoka Marekani,tulipenda tutofautishe kidogo kati ya aina hizi mbili na ndipo session hii niliibatiza jina ambalo lingetofautisha R&B ya Marekani na ile ya kwetu….niliipa session hii jina la BONGO FLAVA.” Wengine waliowahi kuhusishwa Ni pamoja kuwa ni waasisi wa neno Bongo Flava ni DJ. KBC, DJ. Phat Black, @dj.venture @djstevebtz Hii inamaanisha Muziki wa Tanzania ( Bongoflava ) ni muziki wa kuigia!? Vipi kuhusu hizi samples ,huwa wanafikia maridhiano na wenye nazo!? #dullysykes #bongoflava #mikemhagama #djbonnielove #muzikiwatanzania #tiktoktanzania #insideoutz
chị em còn ưng fom môi nè không?#tiemmoi #tiemmoicherry #thanhthoiluottet #xuhuong #tiemmoibaby
Summer has started mwehehe #nicorobin #nicorobincosplay #nicorobinonepiece #onepiece #onepiececosplay
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy