Si kweli, wapi Yesu alifundisha Umwilisho ( incarnation ) ?
2026-07-29 14:33:31
0
Ibrahim Macha :
Yesu si Mungu pekeake tena ameumba na kuumba pia
2026-07-29 08:45:04
0
TRUE EYES :
jaman mm ni mkristo lakin najuwa Yesu ni mwana wa Mungu🙏🙏
2026-07-29 07:34:46
0
abilius06 :
Yesu Kristo ndiye Mungu mwenyewe, Tumsifu Yesu Kristo
2026-07-29 18:26:43
0
Sir. Nyingo :
Mtumishi
hii Nadharia bila kuzama kwenye maandiko huwezi kuuelewa
Mathayo (Mat) 1:23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani,👉Mungu pamoja nasi.
Behold, a virgin shall be with child, and shall bring forth a son, and they shall call his name Emmanuel, which being interpreted is, God with us.
2026-07-29 11:34:44
0
fighter_mc :
Yesu ni Mungu asilimia 100 na alikuja kama mwanadamu asilimia 100
2026-07-29 06:25:50
0
fredrick..gitonga1 :
sasa alikuwa akimuomba nani
2026-07-29 18:46:44
0
William @1844 :
Wana utatu pasipo maelezo miingi kwenye bibilia hawawezi tetea fundisho la utatu
2026-07-29 18:23:53
0
saidoo shafiq :
achane kutuchanganya biblia inasema yesu alitumwa na mungu yesu alimuomba mungu yesu alisema aliye mwema ni mungu mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha aliomba msalaban alikuwa anajiomba mwenyewe Kila mtu aamini anavyosoma biblia
2026-07-29 18:29:03
0
Nasra :
Mungu na wanadamu nani ni wakwaza msijichanganye jamani mariamu ni mwanadamu mama na mtoto nani mkubwa Mungu akisema kuwa Huwa
2026-07-29 17:07:14
0
mbaga :
Adam naye ninani
2026-07-29 14:29:47
0
Amoc machps point :
chunguzen vizuri maandiko yesu ni MUNGU🙌🙌🙌
2026-07-29 14:50:12
1
Орешник :
KWA NINI "ILIBIDI"? MUNGU ALIKOSA KABISA ALTERNATIVE, HATA KUTAMKA TU NA IKAWA?
2026-07-29 13:58:57
0
shamsa Said :
Mmmh
2026-07-29 07:47:50
0
Sir. Nyingo :
Nawapa Andiko la Nabii Isaya
Isaya (Isa) 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
For unto us a child is born, unto us a son is given: and the government shall be upon his shoulder: and his name shall be called Wonderful, Counsellor, The mighty God, The everlasting Father, The Prince of Peace.
2026-07-29 11:31:17
0
Sir. Nyingo :
Majitani wa Ibrahimu waliwaona wale watu kama watu tu;
Hata Malaika watu wa Gomora waliwaona wale watu ni watu tu
2026-07-29 11:32:16
0
Sir. Nyingo :
Hapo ndipo wenzetu wanashindwa kuelewa
2026-07-29 11:29:04
0
Juma Muta :
mhungaji ata adamu mwanadamu wa kwanza akumuona mungu inakuaje vizazi vya Adam wamuone mungu kulipita wengi kabla yake msicho kijua ni miujiza ya mungu afananishwi na chochote akuzaa Wala akuzaliwa na yesu alizaliwa kimujiza kwani miujiza ya mwanadamu anaemuumba katika tumbo ndio azaliwe kama alivyo zaliwa yesu Bali tofauti ni yesu alizaliwa kimujiza mwanadamu kwa tendo ambayo yo nikupitia kwa mungu sio binadam mtumishi apo apana kasome na uelewe
2026-07-29 19:11:22
0
madenge :
hiyo aya hina wachanganya wakiristo neno aliwezi kuwa bila msemaji na wayaudi awjamwamini yesu mpaka Leo hila tu Paulo ndio amewadanganya wakiristo
2026-07-29 15:04:37
0
Yusuf Saad :
Mungu kafanyika kwa neno mbona mnakufuru nyie. Adam je?
2026-07-29 20:19:07
0
user1184331537298katumongotho :
Kama ni malaika,watakua tena ni mungu na ni kirisito anji.???.Huku ni kuchanganyikiwa tu.Sasa nani ananjali unacho amini au usio amini.
2026-07-29 19:25:59
0
Seif Issa :
mnapingana na biblia yenu mungu anasema habadiliki
2026-07-29 19:10:58
0
Mustafa Rajabu :
sas mamak atakua nani
2026-07-29 14:14:00
0
Triple 's' :
Mmh kwahiyo kuna Mungu wawili 😂
2026-07-29 07:08:25
0
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm
homepage.