@hubofwisdom.inc: 🍻 POMBE NI DHAMBI AU SIYO DHAMBI? Mch. Tony Kapola Ajibu Swali Linalobishaniwa Sana! Hili ni swali ambalo limejadiliwa kwa miaka mingi ndani na nje ya Kanisa. Mch. Tony Kapola anachambua mada hii kwa kina, akitoa mtazamo wa kibiblia na wa kimaadili kuhusu matumizi ya pombe. Pia anazungumzia athari ambazo matumizi mabaya ya pombe yanaweza kuwa nazo kwa afya, familia, mahusiano na maisha ya kiroho. Video hii inalenga kuhamasisha tafakari na mjadala wa kujenga. Tazama hadi mwisho, linganisha hoja zilizowasilishwa, na ujenge msimamo wako kwa maarifa. 💬 Swali la leo: Kwa mtazamo wako, Mkristo anapaswa kuichukuliaje pombe? Toa maoni yako kwa heshima kwenye sehemu ya comments. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la whatsApp 👍 Fuatilia H.W Media kwa mafunzo zaidi kuhusu imani, maisha, maendeleo binafsi na uongozi. 📲 Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii: @hubofwisdom.inc 🌐 Tembelea: www.hubofwisdom.com/media Session Credits: Pastor Tony Kapola #TonyKapola #Pombe #Dhambi #Imani #Ukristo #Biblia #Mjadala #Maisha #HWMedia #HubOfWisdom #Wisdom #Motivation #Leadership #Swahili #Tanzania
hubofwisdom.inc
Region: EN
Wednesday 29 July 2026 08:00:00 GMT
Music
Download
Comments
ADEKA Event Planning & Decorat :
Paulo kasema "Msilewe" hakukataza kunywa Bali kulewa.... Elewa neno "Msilewe" kisha tofautisha na neno "Msinywe"
Yesu alipobadili maji kuwa mvinyo alimaanisha hazikuwa na kilevi????
Nuhu alipokunywa alitenda dhambi?
Lile neno linalosema "Wapeni masikini kilevi wasahau shida zao" lilikosewa????
Acha kupotosha watu.
2026-07-29 08:23:06
5
Lizzy Osborn💜💜 :
Ni dhambi coz hata huwezi msikia Roho Mtakatifu mwili wako ni hekalu la Mungu so pombe inafifisha vitu vingi.
2026-07-30 16:03:56
1
marry321 :
Sure
2026-08-29 23:17:43
0
sonda :
inatakiwa kupata maana halisi ya maneno ya Paulo na kama unakunywa au shawahi kunywa utaelewa, kwani ndani ya pombe kuna Roho ilio kinyume na Roho mtakatifu
2026-08-08 14:36:28
1
mcmwamba-D event🎤 :
Pombe ni dhambi mchana kweupeeeee
2026-07-29 15:57:40
5
BEN :
2026-08-09 22:35:32
0
Mr Smart :
Ulevi haipo kwenye Amri 10 za Mungu msipotoshe uma
2026-07-31 14:22:28
1
use MBT New majembe ya YESU :
sasa ukiongea kingereza wengi hawaelewi
2026-08-29 09:05:55
0
MC D :
pombe sio dhambi lakini ni mbaya
2026-07-30 16:12:29
0
Yohana Alois :
kwa kifupi Dhambi ni kutokuamini hayo mengine ni matunda ya kutokuamini ikiwemo
1. ulevi
2. uongo
3. uzinzi
4. kuvuta sigara
na mengin kama hayo
Scripture Yohana 16:9 na waebrania 3:12
2026-07-30 16:15:14
0
𝑆𝑒𝑛𝑖𝑜𝑟🥰🥰 :
Thats a total sin 🙏twafaa kuleweshwa n roho mtakatifu
2026-09-11 15:04:42
0
kilengele :
kila mtu atachagua mwenyewe kama ni dhambi au la
2026-07-30 06:16:40
2
Jay_cob. Angelin :
Shida wanatuuliza na ww unywi umefanya nn cha ajabu?
2026-07-30 06:58:39
0
malamba.michael :
🥰🥰🥰
2026-07-29 18:05:49
1
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.