@donrugi: #wownow #donrugi #Adoniadamas

Adonia Damas
Adonia Damas
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 06:38:06 GMT
73662
1997
139
425

Music

Download

Comments

nikolausmoshi181
Nikolaus Moshi :
kwahiyo mtu anaweza kupewa mkopo kwa picha ya kwenye simu tu
2026-07-29 13:01:26
8
allysellem
Tikrit :
uongo hakuna kampuni inatow mkopo kirahisi ivoo huo ni uongo Dunia nzima tungekuw tushatapeliwa kwa mtindo huo
2026-07-29 14:24:49
13
kavimbe_junior
Alick Barack :
Kumbe Benk wanakubali photocopy ya kadi wala sio kadi original
2026-07-29 20:31:50
4
user4511584520400
Robby one :
kuna watu wana weza bro🧐
2026-07-29 06:48:55
4
legendarysachy1
legendary sachy :
Hakuna kitu kama hichoo Ela yoote mtu lazima awe physically pale
2026-07-29 18:31:08
5
marryagustini
marryagustini :
Hii nistori tuu
2026-07-29 17:23:09
1
bahatijohn182
Bahati John masanja :
pepo la mtu linakuja kiligana naufahamu wako
2026-07-29 19:13:28
2
njuka1234
Njuka jinasa :
NMB hawana iyo system itakuwa hyo benk nayo ilikuw ya kitapel tu
2026-07-29 18:07:57
3
user._000123123
user :
ni uongo tu uwo
2026-07-29 16:12:37
1
danielmwanri
Danho :
Kwanza ili ukopee gari lazima title holder ibadilishwe kwenda kwa taasisi wanaokukopesha
2026-07-30 12:50:15
2
modest.kayombo
modest kayombo :
Hio benki inayofanya shughuli kwa kushirikiana na matapeli inapaswa kuwajibishwa
2026-07-30 11:09:39
1
ramadhanramadhan4417
Ramadhan :
kwanza records zote zipo ktk mtandao
2026-07-29 18:54:32
1
deestardeeclassic
Deestar deeclassic :
Doh hiyo sikuzem muhimu nikumuomba Mungu akunusuru tu
2026-07-29 18:19:55
1
user7153095951863
GreJoste :
ndo nachoka mimi na saini inakuwaje
2026-08-04 17:40:35
1
nyota.cleaver
Nyota Cleaver :
Kama sijakuelewa yani kop ya gari bank wakupe ela 😂😂😂 broo emh naomba ibaki story
2026-07-29 20:01:53
3
ayububaraka616
Ayubu Baraka616 :
kwanza saini zake watu wakaribu na namba zao , huo ni uongo
2026-07-29 14:13:52
4
jacksonkilika
Jackson Kilika :
najua hii ni content. lakini kuna chakujifunza
2026-07-29 10:01:21
3
amodz03
amodz☠️ :
acha ibaki stor lkn hakuna bank inayotoa mkopo kirahisi hivyo bila muhusika kujaza fom na kusain
2026-07-30 12:07:25
2
fredyfabian18
fredy :
uongo hawachukui copy ya kadi
2026-07-29 14:33:54
1
user7559867231335
user7559867231335 :
Ushahidi namba moja ni mtu kufika Ofisini na taratibu zingine kufuatwa, lazima atoe lesen ya biashra, alipe Bima ya mkopo, kama ana ndoa atoe cheti cha ndoa, na Mengine mengi tu. Mkopo rahisi hivyo labda wa Makopo.
2026-07-29 18:15:52
1
silencer.mauly
Silencer Mauly :
Khaa.... yaani hela yote hio itoke ivo tu kirahisi...kweli... ? Aaaweee.. sign .... Bank hio ni wizi kuanzia Management mpaka msafisha Choo...😅😂🤣
2026-07-30 04:58:04
2
user._000123123
user :
sasa benki ndo wametapeliwa na benki kwann watoe mkopo bila kuona gari
2026-07-29 16:12:25
1
loveboy23440
love boy :
hayo makosa ya bank kwanini wanakubali ushahidi upande mmoja Tu bila ya kuitwa yeye bank huo uzembe WA bank haina high security
2026-07-29 18:00:34
1
user7130478280675
ABDALLAH KIWINGA :
sain hakuna bana iyo sio
2026-07-29 09:51:43
1
mark.rise4
MARKRISE ELECTRICAL :
hiyo ni Bank ya matapeli lakini Bank kama NMB NINGUMU SANA KUTOA MKOPO WAAINA HIYO
2026-07-29 16:34:03
3
To see more videos from user @donrugi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About